Beatrice Kamugisha
JF-Expert Member
- May 18, 2019
- 762
- 6,984
Tulipoanza awamu ya tano nakukusanya wasomi wote mashauri nakuwaingiza wizarani na mashirika ya umma niliamini taasisi wanazoongoza zinakwenda kupiga hatua hasa yakimkakati endapo tu wasomi hao wataacha mentality za lecturers kwenye biashara na uchumi.
Miaka michache baadaye walioteuliwa hasa Dr and Prof wakaanza kuwa watu wamatamko na wengine kushindwa kabisa kutoa huduma kulingana na elimu zao. Wakaanza kugawa supp kwa wananchi bila kujua supp zikizidi Taifa linakata tamaa.
Leo hii baada ya miaka mitano hatuoni Jambo lolote jipya ambalo unaweza ukasema wasomi wameumiza kichwa kuliunda.
Ofcoz wengi wa wasomi hawa hawajawahi kuanzisha mradi wowote licha yakusimamia, wengi mradi mkubwa walioishi kuusimamia ni mradi wa kusomesha, Ni mradi wakutoa matokeo ya wangapi wamefeli na kufaulu, ni mradi wakushangalia kuona wanafunzi wanafeli.
Baada ya wasomi kukwama, baada ya wafanyabiashara wengi kupata supplimentary awamu ya tano na baada wasomi kushindwa kutenganisha biashara na mfumo wa dola yaani matumizi ya Polisi na vyombo vingine kukusanya kodi ndipo wanashtuka usingizini nakubaini wamelipeleka taifa kwenye disco.
Hii kufeli kumenifanya nichimbue nakugundua wasomi wetu wengi ni waajiriwa Tena wa vyuo, wamekuwa kwa kuamini kwenye supplimentary vyuoni, sasa wamehamiashia supp kwenye biashara na uchumi.
Tunalojukumu lakupambana na watu wanaoamini kwenye kufelisha wenzao na kutengeneza wasomi wanaojiuliza kwanini mwenzetu amesupp? Kama mwalimu yupo busy kujisifia amefelisha wanafunzi wangapi unadhani akipewa wizara atatamani kuona anaowaongozo wanafaulu?
Hii ndiyo iliyomfanya profesa mmoja nguli alipoteuliwa kusifia V8 na shangingi analotembelea, means kwa miaka yake yote na kwa elimu yake kubwa hakuwahi kujua Waziri ana benefits gani. Hakuwahi kujisimamia alikuwa anasimamiwa, hakuwahi kumiliki fedha alikuwa anamiliki mshahara, hakuwa kufanya Jambo lolote kubwa alikuwa anasubiri afanyiwe
Uchumi tuna supp
Biashara supp
Taifa linakwenda kudisco.