WASOMI WETU: Hivi wasomi wetu mmewahi kujiuliza Elimu yako imeisaidia nini jamii yako inayokuzunguka?

Nikifa MkeWangu Asiolewe

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2024
Posts
6,944
Reaction score
14,351
Hello!

Sipo hapa kuwabenza ama kuwananga hapana ninachohitaji kujua/kufahamu ni kuhusu elimu zenu hizo mmezipambania kwa udi na uvumba na kwa gharama huku mkijinyima sana.Kwa kifupi hongereni sana na wapongeza kwa msoto huo.

Mara kadhaa tumewasikia wabunge kama msukuma na kishimba wakikosoa elimu zenu.Binafsi naungana nao kwenye hili maana wengi wenu kama sio wote ukiulizwa swali umeifanyia nini jamii yako hutakuwa na jibu hakika!

Kuna wizara kazaa wameaminiwa ma profesa kabisa lakini wamefeli vibaya mno kuna msomi mmoja alipewa wizara ya maji lakini hajawahi itatua imagine!

Mimi huwa ni mdau wa kujifunza kwenye mitandao ya kijamii hasa kilimo na ufugaji cha ajabu tz wasomi wetu hamuonekani kabisa wakenya wametupiga fimbo mbaya mno.

Kisingizio huwa tunasema lugha ya kimalikia imetupiga chenga na wakenya wapo juu lakini huko huko mitandaoni utaona kuna wafilipino,wachina,waarabu wanaelezea kwa lugha zao bila shida yoyote na chini kunakuwa translation....na uanelewa.

Ukiingia kwenye ufugaji halafu ukaandika nchi husika kama ni Tz utakacholetewa ni vichekesho mtu ana ng'ombe tatu za maziwa lakini maneno ni mengi kuliko hata uhalisia wenyewe kwa kifupi hakuna hata cha kujifunza kutoka kwakwe.

Kwanza ukiangalia mabanda,usafi hakuna na mifugo japo ni wachache tu ila afya zao sio nzuri
Ingia kenya sasa uone jamaa wapo vizuri kwa kila kitu hata ukiamua uingie SA unaona utofauti wao na wakenya ni kidogo mno.

ANGALIA HAPA
View: https://www.youtube.com/watch?v=uxJoILIbO5A

Tz wasomi wetu mmejaa janja janja nyingi sana kuliko ufanisi.Wengi wa wafugaji wa ng'ombe wa maziwa wanatoa kenya na kweli wana walipa.

Bidhaa nyingi za suprmaket ziwe mboga mboga na matunda zinatoka kenya pale na kwambia hadi carrot huwa nakutana nazo zimetoka kenya kwenye ma supermaket ya hapa bongo .Kwenye matunda ndo hivyo tena tumepigwa KO.

Ukiangalia maonyesho ya kenya aisee jamaa wapo vizuri sana kwenye kilimo na ufugaji achilia mbali viawanda ....https://www.facebook.com/CitizenTVKe/videos/kilimo-biasharamaonyesho-ya-kwanza-kuhusu-lishe-ya-mifugo-yalifanyika-kongamano-/374099452085962/

Msukuma aliwahi kusema bar zinazo zunguka pale SUA wenye nazo ni maprofesa wa chuo hiki sasa unategemea nini?

Mwanachuo alitoka hapohapo chuo akaja uraiani nikashangaa kumuona ameanza kujifunza kunyoa na baada ya muda akafungua saloon yake.Nilijiuliza maswali mengi sana kuhusu huyu jamaa miaka zaidi3 yupo SUA tukijua jamaa atakuwa mtatuzi wa changamoto zetu za kilimo kumbe holaaa.

View: https://www.youtube.com/watch?v=GbxKI0ke4PI Angalia link ya kwanza kutoka kenya na hii ya Tz ndo uone tumeachwa mbali kiasi gani.

Kenya wana process maziwa yao na kutuletea hadi huku kwa hapa Tz kama wapo basi mitandaoni wamejichimbia sana angalia hapa
View: https://www.youtube.com/watch?v=e5bpXs18EQs

Huyu mama ana sindika kabisa na hapa unaona Elimu yake inavyo mnufaisha sisi maprofesa wetu ndo wakina tibaijuka hata wizara ya ardhi alifeli vibaya mno. Wapo kupambania ubunge kuliko walichokisomea na kuwa kejeri vijana wajiajiri ili hali wao pamoja na kusoma kote hawataki wajiajiri.

Nashindwa kuelewa kabisa kwanini wasomi wetu msaada wenu ni mdogo sana kwenye jamii.
Hili kila mfugaji ama mkulima atakubaliana nami kuwa ukifuta ushauri wa msomi kwenye mradi iwe madawa nk hakika utaanguka vibaya sana.

Nina mifano kadhaa ukienda kununua duka la mifugo na ukamwambia kabisa na ugonjwa si ajabu ukapewa dawa ya ungonjwa tofauti kabisa na wala hauendani na dawa hiyo.

Huyo anayekupatia anajinasibu kuwa ana diploma ya fani husika hadi unashangaa.Niliwahi mfuata bw mifugo ili aje anitatulie changamoto yangu ya kuku.Wale kuku walikuwa wanaumwa kipindupindu cha kuku lakini aliniambia wale kuku wana kideri nilimshangaa sana.

Wafugaji wengi na wakulima wana aminiana wao kwa wao maana ndio hutatuliana shida zao zote tena kwa ufanisi mkubwa kuliko kwenda kwa msomi. Wafugaji wengi wanajua mno kuliko msomi.

Nikawaida sana kumkuta mtalaamu wetu hapo kwake hana mti wa matunda hata mmoja wala hana hata njiwa pale au paka hana.Lakini ukimuuliza mdomoni anajua kila kitu basi mchukue ukamuonyeshe ng'ombe wako mgonjwa kisha muulize anaumwa nini? Nadhani jibu unalo

Kuna wafugaji wengi sana huwa wananiita kwenda kuona mifugo yao. Jmos tu hii iliyopita kuna jamaa kaelekezwa dawa akawapa broiler wake 500 wamekufa hadi jana mchana walikuwa wamebaki 31 tu tena nao wana hali mbaya.

Uzuri ni kwamba yule mtalaamu alimuandikia kabisa namna ya kutumia Baada ya kusoma maelekezo ya dawa na alivyoandika nikagundua amewa overdose! Hii ni hasara kubwa sana na huyu mfugaji mchanga anaweza akakata tamaa mazima.

Ukweli tunaishi kama hatuna wasomi kwenye jamii yetu hakuna msaada wa maana kabisa.Kwa sasa nimeshajijengea tabia ya kuuliza wafugaji wenzangu hata kama yupo Dar nitamuuliza kwa changamoto ambayo mimi imenishinda.

Wakuu mnafeli wapi kama maeneo ya kufanyia field yapo ya kutosha sana hapa nchini .

Siku3 zilipita kuna uzi humu jamaa anatafuta ajira Cv yake imeshiba badala ya kutafuta mashamba au patner wa kuungana nae yeye atumie ujuzi wake na mwenzake atoe hela yeye anataka arudi hukohuko kwenye ajira maana tyr alidai alikuwa ameajiliwa kwa muda kadhaa.

Kwa mtazamo wangu wasomi wetu Elimu zenu bado kabisa hazijatupa manufaa.

Hii ni kwa ucahche tu nimeongelea hasa kwenye kilimo na ufugaji ambako na amini kuna kujiajiri nje nje mashamba hadi ya 30k unakodishiwa halafu mtu anakwambia hana mtaji wakati huo ana simu m3 ajabu sana.

Ukilima matango robo heka hadi yanaiva huwezi tumia hata gharama ya 300k huwezi!
 
Nitajitahidi kuwaeleza na kuwafundisha watz wengine elimu na umuhimu wa fedha (Finance) ni neno pana sana, elimu na ushauri wa kikodi

Maake wengi wanafanya uwekezaji mwishoni wanaapata matokeo sio kwa sababu hawakuwa na taarifa za kutosha kuhusiana na uwekezaji husika!

Hata kwenye Kodi wengi wanafungua au kufanya biashara ndani na nje ya nchi pasi na kuelewa Kodi ipi ilipwe wapi na kwa muda gani , ni nn matokeo yake ukichelewa au usipolipia kabisa Kodi kwa biashara husika nadhani kwangu kupitia hii watanzania wengi watapata maarifa na kujua wanaanzia wapi.
 
Unaambiwa huo upumbavu unaoitwa MTAALA MPYA ndio kaburi refu kabisa la Elimu yetu
 
Nitajitahidi kuwaeleza na kuwafundisha watz wengine elimu na umuhimu wa fedha (Finance) ni neno pana sana, elimu na ushauri wa kikodi

Maake wengi wanafanya uwekezaji mwishoni wanaapata matokeo sio kwa sababu hawakuwa na taarifa za kutosha kuhusiana na uwekezaji husika!

Hata kwenye Kodi wengi wanafungua au kufanya biashara ndani na nje ya nchi pasi na kuelewa Kodi ipi ilipwe wapi na kwa muda gani , ni nn matokeo yake ukichelewa au usipolipia kabisa Kodi kwa biashara husika nadhani kwangu kupitia hii watanzania wengi watapata maarifa na kujua wanaanzia wapi.
Karibu sana mkuu
 
Hello!

Sipo hapa kuwabenza ama kuwananga hapana ninachohitaji kujua/kufahamu ni kuhusu elimu zenu hizo mmezipambania kwa udi na uvumba na kwa gharama huku mkijinyima sana.Kwa kifupi hongereni sana na wapongeza kwa msoto huo.

Mara kadhaa tumewasikia wabunge kama msukuma na kishimba wakikosoa elimu zenu.Binafsi naungana nao kwenye hili maana wengi wenu kama sio wote ukiulizwa swali umeifanyia nini jamii yako hutakuwa na jibu hakika!

Kuna wizara kazaa wameaminiwa ma profesa kabisa lakini wamefeli vibaya mno kuna msomi mmoja alipewa wizara ya maji lakini hajawahi itatua imagine!

Mimi huwa ni mdau wa kujifunza kwenye mitandao ya kijamii hasa kilimo na ufugaji cha ajabu tz wasomi wetu hamuonekani kabisa wakenya wametupiga fimbo mbaya mno.

Kisingizio huwa tunasema lugha ya kimalikia imetupiga chenga na wakenya wapo juu lakini huko huko mitandaoni utaona kuna wafilipino,wachina,waarabu wanaelezea kwa lugha zao bila shida yoyote na chini kunakuwa translation....na uanelewa.

Ukiingia kwenye ufugaji halafu ukaandika nchi husika kama ni Tz utakacholetewa ni vichekesho mtu ana ng'ombe tatu za maziwa lakini maneno ni mengi kuliko hata uhalisia wenyewe kwa kifupi hakuna hata cha kujifunza kutoka kwakwe.

Kwanza ukiangalia mabanda,usafi hakuna na mifugo japo ni wachache tu ila afya zao sio nzuri
Ingia kenya sasa uone jamaa wapo vizuri kwa kila kitu hata ukiamua uingie SA unaona utofauti wao na wakenya ni kidogo mno.

ANGALIA HAPA
View: https://www.youtube.com/watch?v=uxJoILIbO5A

Tz wasomi wetu mmejaa janja janja nyingi sana kuliko ufanisi.Wengi wa wafugaji wa ng'ombe wa maziwa wanatoa kenya na kweli wana walipa.

Bidhaa nyingi za suprmaket ziwe mboga mboga na matunda zinatoka kenya pale na kwambia hadi carrot huwa nakutana nazo zimetoka kenya kwenye ma supermaket ya hapa bongo .Kwenye matunda ndo hivyo tena tumepigwa KO.

Ukiangalia maonyesho ya kenya aisee jamaa wapo vizuri sana kwenye kilimo na ufugaji achilia mbali viawanda ....https://www.facebook.com/CitizenTVKe/videos/kilimo-biasharamaonyesho-ya-kwanza-kuhusu-lishe-ya-mifugo-yalifanyika-kongamano-/374099452085962/

Msukuma aliwahi kusema bar zinazo zunguka pale SUA wenye nazo ni maprofesa wa chuo hiki sasa unategemea nini?

Mwanachuo alitoka hapohapo chuo akaja uraiani nikashangaa kumuona ameanza kujifunza kunyoa na baada ya muda akafungua saloon yake.Nilijiuliza maswali mengi sana kuhusu huyu jamaa miaka zaidi3 yupo SUA tukijua jamaa atakuwa mtatuzi wa changamoto zetu za kilimo kumbe holaaa.

View: https://www.youtube.com/watch?v=GbxKI0ke4PI Angalia link ya kwanza kutoka kenya na hii ya Tz ndo uone tumeachwa mbali kiasi gani.

Kenya wana process maziwa yao na kutuletea hadi huku kwa hapa Tz kama wapo basi mitandaoni wamejichimbia sana angalia hapa
View: https://www.youtube.com/watch?v=e5bpXs18EQs

Huyu mama ana sindika kabisa na hapa unaona Elimu yake inavyo mnufaisha sisi maprofesa wetu ndo wakina tibaijuka hata wizara ya ardhi alifeli vibaya mno. Wapo kupambania ubunge kuliko walichokisomea na kuwa kejeri vijana wajiajiri ili hali wao pamoja na kusoma kote hawataki wajiajiri.

Nashindwa kuelewa kabisa kwanini wasomi wetu msaada wenu ni mdogo sana kwenye jamii.
Hili kila mfugaji ama mkulima atakubaliana nami kuwa ukifuta ushauri wa msomi kwenye mradi iwe madawa nk hakika utaanguka vibaya sana.

Nina mifano kadhaa ukienda kununua duka la mifugo na ukamwambia kabisa na ugonjwa si ajabu ukapewa dawa ya ungonjwa tofauti kabisa na wala hauendani na dawa hiyo.

Huyo anayekupatia anajinasibu kuwa ana diploma ya fani husika hadi unashangaa.Niliwahi mfuata bw mifugo ili aje anitatulie changamoto yangu ya kuku.Wale kuku walikuwa wanaumwa kipindupindu cha kuku lakini aliniambia wale kuku wana kideri nilimshangaa sana.

Wafugaji wengi na wakulima wana aminiana wao kwa wao maana ndio hutatuliana shida zao zote tena kwa ufanisi mkubwa kuliko kwenda kwa msomi. Wafugaji wengi wanajua mno kuliko msomi.

Nikawaida sana kumkuta mtalaamu wetu hapo kwake hana mti wa matunda hata mmoja wala hana hata njiwa pale au paka hana.Lakini ukimuuliza mdomoni anajua kila kitu basi mchukue ukamuonyeshe ng'ombe wako mgonjwa kisha muulize anaumwa nini? Nadhani jibu unalo

Kuna wafugaji wengi sana huwa wananiita kwenda kuona mifugo yao. Jmos tu hii iliyopita kuna jamaa kaelekezwa dawa akawapa broiler wake 500 wamekufa hadi jana mchana walikuwa wamebaki 31 tu tena nao wana hali mbaya.

Uzuri ni kwamba yule mtalaamu alimuandikia kabisa namna ya kutumia Baada ya kusoma maelekezo ya dawa na alivyoandika nikagundua amewa overdose! Hii ni hasara kubwa sana na huyu mfugaji mchanga anaweza akakata tamaa mazima.

Ukweli tunaishi kama hatuna wasomi kwenye jamii yetu hakuna msaada wa maana kabisa.Kwa sasa nimeshajijengea tabia ya kuuliza wafugaji wenzangu hata kama yupo Dar nitamuuliza kwa changamoto ambayo mimi imenishinda.

Wakuu mnafeli wapi kama maeneo ya kufanyia field yapo ya kutosha sana hapa nchini .

Siku3 zilipita kuna uzi humu jamaa anatafuta ajira Cv yake imeshiba badala ya kutafuta mashamba au patner wa kuungana nae yeye atumie ujuzi wake na mwenzake atoe hela yeye anataka arudi hukohuko kwenye ajira maana tyr alidai alikuwa ameajiliwa kwa muda kadhaa.

Kwa mtazamo wangu wasomi wetu Elimu zenu bado kabisa hazijatupa manufaa.

Hii ni kwa ucahche tu nimeongelea hasa kwenye kilimo na ufugaji ambako na amini kuna kujiajiri nje nje mashamba hadi ya 30k unakodishiwa halafu mtu anakwambia hana mtaji wakati huo ana simu m3 ajabu sana.

Ukilima matango robo heka hadi yanaiva huwezi tumia hata gharama ya 300k huwezi!

Jamii ya kanyaga twende yaani jamii ya bora liende jamii ambayo haiwezi kuchakata fikra chanya na hasi, jamii inayojua kilakitu kumbe hawajui kitu

Kwenye jamii hiyo ambayo watu ni wajuaji eti kwavile anajiua, kuongea, tembea, kikimbia kula kama wewe basi atakuwa anajua kilakitu

Jamii ambayo hufurahia watu wengine wakidhurika, (pessimistic people)
 
Elimu yangu sijaitumia popote mkuu.
Nafanya ambacho ata ambae sii msomi anaweza
 
Back
Top Bottom