WASOMI WETU: Hivi wasomi wetu mmewahi kujiuliza Elimu yako imeisaidia nini jamii yako inayokuzunguka?

Sera mbovu za kiuongozi na kiuchumi.

Msomi mwenye nia ya kuleta mabadiliko anakutana na vikwazo vingi sana.

Nitatoa mfano kwenye sector yangu ya tehama, wengine watasema kwa uzoefu wao;

Kabla NALA haijawa app ya cross-border payments, ilikuwa ni mobile money aggregator inayosaidia mtu kutuma pesa kati ya mitandao tofauti bila makato.

Vodacom wakaona watakosa hela za M-PESA wakampa cease and desist, ikabidi abadilishe biashara.

Sasa hapo NALA ingesaidia sana watu, ila ndo hivyo serikali haichochei ushindani.
 
 
Soma pia uikomboe jamii yako ya kifugaji, hizi lawama hazisaidii kila mtu husoma kwa malengo binafsi kabla ya jamii kwa ujumla, sawa kijana.
Hatuwezi kusoma wote na haipo Nchi yoyote duniani wamesoma wote.

Wewe ulienda kusoma ujinga/ unyanoko ndio maana huna msaada wowote.
 
Uko sawa kabisa
 
Hatuwezi kusoma wote na haipo Nchi yoyote duniani wamesoma wote.

Wewe ulienda kusoma ujinga/ unyanoko ndio maana huna msaada wowote.
Hatuwezi kusoma wote lakini wewe mwenye uhitaji unaweza kusoma ukiona changamito zako zinatatuliwa na wasomi pekee.

Ni ajabu kutoa shutuma na lawama kwa wasomi ilhali hata wewe unaweza kusoma na kupata maarifa ya kutatua hizo changamoto.

Anza na wewe kwanza kabla ya kulaumu wengine, wewe kwenye kada yako umelisaidiaje taifa dhidi ya hao wasomi??
 
Hta hivyo siwezi somea vyote.Niwe Eng,Dr,Rubani nahodha wa meli mimi huyuhuyu?
 
Hua wanasema mtu akishindwa kufanya kazi zake anaanza kulaumu wengine, aina hii ya watu ni kama wewe mtoa mada.

Wasomi hawana shida, shida ni hyo elimu mlio wapa, Yaani mme wa feed garbage halafu mnataka wao watoe pilau hii imetoka wapi.

Wakati school dropout wa Marekani na Ulaya wakivumbua technoligies na Kuanzisha kampuni, Nyie mpo hapa kulaumu wasomi na Kuona ndo sababu ya kuto kufanikiwa kwenu.

Grow up man, If the politics are not right no sector will prosper.
 
Alaumiwe nani? Ikiwa Hadi Sasa hatujui hata kutengeneza vijiti vya kujichokonolea kwenye meno(Tooth stick) na Kuna vyuo kibao mbona hapo Kenya Kuna utofauti mkubwa sana na hapa? Acheni ujinga tutawaambia Leo, kesho,kesho kutwa , mtondogoo na hata milele Hadi ujinga uwatoke.
 
Utasikia makabila yenye wasomi wengi🤣🤣ujunga mtupu.
 
Ujinga ndo huo ulio nao wewe sasa.

Kutengeneza Tooth pick tu mpaka uende shule nani alikwambia?

Elimu aina mwisho kasome wewe uje utengeneze tooth pick utuuzie, au wewe hutaki hela?
 
Unachekesha.
Elimu ambayo haimsaidii hata yeye binafsi sembuse Watanzania.
 
Mtu aliyekwenda shule na ambaye hajaenda shule hawa watu hawafanani kabisa.

Dunia ya Leo inahitji Sana Elimu na sio Elimu ya kawaida Ila Elimu ya nzuri
 
Elimu yetu ina direct kwenye kuajiriwa. Pia kuna vitu tunasoma tufaulu mitihani tu tukapate ajira ila havina faida yoyote in real life. Pia tunaposoma hakili zetu zinawaza ubunge, uwazir na hata kama ni elimu za kijamii ni tuajiriwe. Chaajabu tukimaliza kwa elimu ya kufoji ili tupate ajira tunaambiwa tukajiajiri. Hem fikiri labda nimesomea kilimo nadharia na kama nivitendo kwa uchache nikaajiriwe. ( My life. Mfuga kucha,rasta,sharobaro, na n.k unipeleke shambani kivp me nahitaji kusimamia). Mambo yakikwama wasomi ni boda boda na wanyoa nywele au wasusi huku tukingoja ajira

Unategemea tutaisaidiaje jamii isiyotusidia chochote iko bize na tik tok tena ya vichekesho na serikali ya chetu chetu chenu chetu . Tutafika lini. Tunangoja ajira nasi tukawe wenzi na wa wafujaji wamali za ambao watakao tutegemea akama zetu zinavyolambwa na tunaowategemea

Tanzania sio ya mtanzania labda niya ujinga na Viongoz wengine hula kwa mbwembetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…