kwanini watu walioelimika wasionyeshe mfano mwema katika tabia wao ndio wamekuwa mstari wa mbele katika kuonyesha ni jinsi gani jamii inaweza kuishi katika uzinzi ulevi na kila aina ya machukizo, je hii inatupa picha gani kwa wasomi wetu? je kuna mapungufu gani kwa wasomi wetu katika kuishi maisha yaliyo safi?
Wasomi ni wale wenye kufungua makanisa na kujiita mitume na manabii kila kukicha, uku wakila lile fungu la kumi toka kwa wsomi wengine.kusoma si kuelewa, na kuelewa si kusoma,
na kama ingekuwa hivyo? basi mpaka leo kusingekuwa
na wafuasi wa qurani t'ukufu ambao ni wasomi maana
mule namo ni matatizo matupu,
samahani lakini kwa kutolea mfano huo
lakini sina jinsi maana nimeona ni rahisi sana
kwanini watu walioelimika wasionyeshe mfano mwema katika tabia wao ndio wamekuwa mstari wa mbele katika kuonyesha ni jinsi gani jamii inaweza kuishi katika uzinzi ulevi na kila aina ya machukizo, je hii inatupa picha gani kwa wasomi wetu? je kuna mapungufu gani kwa wasomi wetu katika kuishi maisha yaliyo safi?
Una pokuwa shule,kuanzia dayone akili yako yote kwenye masomo,hadi unapata kadegree kako, sasa looooh unakuja shituka mambo mengi yamekupita, ngono/ulevi na mengine mengi, kwa ajili hiyo hawa jamaa huvamia hizi fani za watu na kuumbuka.Si unajua tena,hana uzoefu,konyagi mzinga mmoja hoi,haya kwenye ngono mara huyu mara yule,yaaani fujo tu.Hapa siyo wasomi wote ila wale ambao ndio kwanza wamegraduate ndio spidi yao kali maili 1000 kwa dakika.Tuwavumilie wakikua wataacha.Wasomi ni wale wenye kufungua makanisa na kujiita mitume na manabii kila kukicha, uku wakila lile fungu la kumi toka kwa wsomi wengine.
sema ujengele sema.pia kuna wale wasomi wanaojiita mapadri ambao hawataki kuoa na kazi yao ni kunyemelea wake na watoto wa kike na wa kiume ili kuwafanya vibaya kwa kutumia nafasi zao ndani ya nyumba za ibada.
mmmmmmmmmmmh yamekuwa hayo,kwaherini,nahamia thread nyingineni wakristo Vs waislam tena??