E environmental JF-Expert Member Joined Oct 11, 2010 Posts 1,054 Reaction score 137 May 1, 2012 #1 uongozi wa nchi ulitegemea sana wasomi lakini wasomi wetu ma PHDs zao wamekuwa majizi sasa msomi na muamifu ambaye hakusoma kutokana na uwezo waa familia yake lakini ni muadilifu na anafundishika akipewa nafasi nani anatufaa? ona Prof Mhalu/mahalu
uongozi wa nchi ulitegemea sana wasomi lakini wasomi wetu ma PHDs zao wamekuwa majizi sasa msomi na muamifu ambaye hakusoma kutokana na uwezo waa familia yake lakini ni muadilifu na anafundishika akipewa nafasi nani anatufaa? ona Prof Mhalu/mahalu