Wasomi wetu wametuangusha kwa kuendekeza njaa

and 300

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2012
Posts
26,398
Reaction score
36,406
Taifa limejaa wasomi ila ukisikiliza wanachoandika (kupitia machapisho yao) na wanachoongea unaweza kulia. PhD zimejaa kwenye siasa na kuacha mediocre kwenye academia.

NB: Duniani huko Scholarship na Grants zimeanzishwa kusomesha na kufadhili tafiti za kutatua matatizo pia kuwaenzi wasomi walioacha legacy. Ila hapa Tanganyika unajiuliza hivi Hawa wasomi wanawaza nn?
 
Wacha wasomi nao walambe Asali. Mtu ana PhD Hana hata kiwanja kwann akipata u-DC asiwe chawa?
 
Kalamaganda Scholarship
 
Nchi hii ukiwa msomi ili utusue kubali kuwa mtumwa wa wanasiasa na wafanyabiashara wakubwa
 
Back
Top Bottom