and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 28,477
- 40,278
Wacha wasomi nao walambe Asali. Mtu ana PhD Hana hata kiwanja kwann akipata u-DC asiwe chawa?Taifa limejaa wasomi ila ukisikiliza wanachoandika (kupitia machapisho yao) na wanachoongea unaweza kulia. PhD zimejaa kwenye siasa na kuacha mediocre kwenye academia.
NB: Duniani huko Scholarship na Grants zimeanzishwa kusomesha na kufadhili tafiti za kutatua matatizo pia kuwaenzi wasomi walioacha legacy. Ila hapa Tanganyika unajiuliza hivi Hawa wasomi wanawaza nn?
Sega?Usomi bila asali? ...
Hakika. Yaani wanasiasa ni balaa zitoNchi hii ukiwa msomi ili utusue kubali kuwa mtumwa wa wanasiasa na wafanyabiashara wakubwa