Mh WASSIRA Jana katika kipindi Cha tuambie Cha TBC1,WASSIRA aliwekawazi juu ya mchakato huu tangu ulivyo anza Mpaka sasa tulipo fikia. Huku akielezea kilicho tokea bungeni na taratibu Za bunge pamoja na kanuni Za bunge. Alikgusia Kamati ya bunge ya KATIBA na sheria bamoja na kuwepo Kwa WAJUMBE toka vyama vyote CHADEMA,CUF NA CCM.