Sijapewa username bado
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 1,775
- 2,891
Maada hapa ni ubunge na udiwani hiyo yako kaanzishe mada kwingineSamia alishindana na nani nafasi ya Mwenyekiti au yeye nafasi ya Makamu Mwenyekiti?
Rudisheni hiyo nyara haraka sana kule GombeMakamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Stephen Wasira Machi 16, 2025, akizungumza na wanachama wa CCM katika Wilaya ya Ileje, amesisitiza kuwa chama hicho kimeweka utaratibu wa wazi kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025.
Katika hotuba yake, Wasira alifafanua kuwa hakutakuwa na utaratibu wa wagombea kupita bila kupingwa katika chaguzi za ndani ya chama, akisisitiza umuhimu wa demokrasia na ushindani wa haki.
Aidha, aliwahimiza vijana kujitokeza kwa wingi kugombea nafasi za udiwani na ubunge, akisema kuwa CCM ni chama kinachojengwa na vijana.
"Tunataka kuona vijana wanajitokeza kwa wingi katika mchakato wa kugombea nafasi mbalimbali za uongozi.
"CCM ni chama chenye misingi ya ushirikishwaji, na tunahitaji damu mpya kuendeleza mafanikio tuliyoyapata," alisema Wasira.
Pia, alisisitiza kuwa CCM imejipanga kuhakikisha uchaguzi wake unakuwa wa uwazi, haki, na ushindani wa kweli, ili kutoa fursa kwa wanachama wote wenye sifa kushiriki kikamilifu katika maendeleo ya chama na taifa kwa jumla.
Katika mkutano huo, viongozi na wanachama wa CCM walionyesha hamasa kubwa, huku wakiahidi kushiriki kikamilifu katika mchakato wa uchaguzi.
View attachment 3273898
Vijana acheni woga ombeni hizo nafasi za ubunge na udiwani msimuogope yeyote muogopeni Mungu tuViongozi waliopo madaraka ni wachawi Sana sidhani kama watapita
Ipeni nafasi CCM ichuje majina toka kwa wagombea wengi vijana msipogombea msije lalamika kuwa hamuonwiViongozi waliopo madaraka ni wachawi Sana sidhani kama watapita
Kwa pamoja tunajenga nchi yetu Tanazania,Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Stephen Wasira Machi 16, 2025, akizungumza na wanachama wa CCM katika Wilaya ya Ileje, amesisitiza kuwa chama hicho kimeweka utaratibu wa wazi kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025.
Katika hotuba yake, Wasira alifafanua kuwa hakutakuwa na utaratibu wa wagombea kupita bila kupingwa katika chaguzi za ndani ya chama, akisisitiza umuhimu wa demokrasia na ushindani wa haki.
Aidha, aliwahimiza vijana kujitokeza kwa wingi kugombea nafasi za udiwani na ubunge, akisema kuwa CCM ni chama kinachojengwa na vijana.
"Tunataka kuona vijana wanajitokeza kwa wingi katika mchakato wa kugombea nafasi mbalimbali za uongozi.
"CCM ni chama chenye misingi ya ushirikishwaji, na tunahitaji damu mpya kuendeleza mafanikio tuliyoyapata," alisema Wasira.
Pia, alisisitiza kuwa CCM imejipanga kuhakikisha uchaguzi wake unakuwa wa uwazi, haki, na ushindani wa kweli, ili kutoa fursa kwa wanachama wote wenye sifa kushiriki kikamilifu katika maendeleo ya chama na taifa kwa jumla.
Katika mkutano huo, viongozi na wanachama wa CCM walionyesha hamasa kubwa, huku wakiahidi kushiriki kikamilifu katika mchakato wa uchaguzi.
Soma pia: Pre GE2025 Miradi kuelekea Uchaguzi Mkuu: Mhandisi Kundo akagua mradi wa maji unaonufaisha zaidi ya wakazi 200,000 Chalinze
Shetani wewe, amesema kwenye chama cha CCM, yeye hayupo CCM? ni ujinga kusema hakuna kupita bila kupingwa na wakati yeye hakupingwa, aliyethubutu kuhoji anatishiwa maisha na kafukuzwa uana chama, why hawakumuita na kumwelewesha?Maada hapa ni ubunge na udiwani hiyo yako kaanzishe mada kwingine
Jikite kwenye mada
Uchaguzi wa wazi, haki na huru unawezekana ndani ya cdm tu. Hivyo aache utapeli usio na tija.Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Stephen Wasira Machi 16, 2025, akizungumza na wanachama wa CCM katika Wilaya ya Ileje, amesisitiza kuwa chama hicho kimeweka utaratibu wa wazi kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025.
Katika hotuba yake, Wasira alifafanua kuwa hakutakuwa na utaratibu wa wagombea kupita bila kupingwa katika chaguzi za ndani ya chama, akisisitiza umuhimu wa demokrasia na ushindani wa haki.
Aidha, aliwahimiza vijana kujitokeza kwa wingi kugombea nafasi za udiwani na ubunge, akisema kuwa CCM ni chama kinachojengwa na vijana.
"Tunataka kuona vijana wanajitokeza kwa wingi katika mchakato wa kugombea nafasi mbalimbali za uongozi.
"CCM ni chama chenye misingi ya ushirikishwaji, na tunahitaji damu mpya kuendeleza mafanikio tuliyoyapata," alisema Wasira.
Pia, alisisitiza kuwa CCM imejipanga kuhakikisha uchaguzi wake unakuwa wa uwazi, haki, na ushindani wa kweli, ili kutoa fursa kwa wanachama wote wenye sifa kushiriki kikamilifu katika maendeleo ya chama na taifa kwa jumla.
Katika mkutano huo, viongozi na wanachama wa CCM walionyesha hamasa kubwa, huku wakiahidi kushiriki kikamilifu katika mchakato wa uchaguzi.
Soma pia: Pre GE2025 Miradi kuelekea Uchaguzi Mkuu: Mhandisi Kundo akagua mradi wa maji unaonufaisha zaidi ya wakazi 200,000 Chalinze
Kila chama kina yake hakuna chama ambacho kinatakiwa kuwa photocopy ya chama kingineUchaguzi wa wazi, haki na huru unawezekana ndani ya cdm tu. Hivyo aache utapeli usio na tija.
Umeshaambiwa hakuna kupita bila kupingwa,tena kwa wote kazi kwa wanaccm.Samia alishindana na nani nafasi ya Mwenyekiti au yeye nafasi ya Makamu Mwenyekiti?
Asitudanganye huyo Mzee. Mbona kauri yake haiakisi ukweli ndani ya chama chake Kwa sababu Samia Suruhu Hassan kapita bila kupingwa katika chama.Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Stephen Wasira Machi 16, 2025, akizungumza na wanachama wa CCM katika Wilaya ya Ileje, amesisitiza kuwa chama hicho kimeweka utaratibu wa wazi kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025.
Katika hotuba yake, Wasira alifafanua kuwa hakutakuwa na utaratibu wa wagombea kupita bila kupingwa katika chaguzi za ndani ya chama, akisisitiza umuhimu wa demokrasia na ushindani wa haki.
Aidha, aliwahimiza vijana kujitokeza kwa wingi kugombea nafasi za udiwani na ubunge, akisema kuwa CCM ni chama kinachojengwa na vijana.
"Tunataka kuona vijana wanajitokeza kwa wingi katika mchakato wa kugombea nafasi mbalimbali za uongozi.
"CCM ni chama chenye misingi ya ushirikishwaji, na tunahitaji damu mpya kuendeleza mafanikio tuliyoyapata," alisema Wasira.
Pia, alisisitiza kuwa CCM imejipanga kuhakikisha uchaguzi wake unakuwa wa uwazi, haki, na ushindani wa kweli, ili kutoa fursa kwa wanachama wote wenye sifa kushiriki kikamilifu katika maendeleo ya chama na taifa kwa jumla.
Katika mkutano huo, viongozi na wanachama wa CCM walionyesha hamasa kubwa, huku wakiahidi kushiriki kikamilifu katika mchakato wa uchaguzi.
Soma pia: Pre GE2025 Miradi kuelekea Uchaguzi Mkuu: Mhandisi Kundo akagua mradi wa maji unaonufaisha zaidi ya wakazi 200,000 Chalinze
Patashika nguo kuchanika safari hii iko kwenye ubunge na udiwaniAsitudanganye huyo Mzee. Mbona kauri yake haiakisi ukweli ndani ya chama chake Kwa sababu Samia Suruhu Hassan kapita bila kupingwa katika chama.
Jibu swali mkuuMaada hapa ni ubunge na udiwani hiyo yako kaanzishe mada kwingine
Jikite kwenye mada
Nje ya mada sijibuJibu swali mkuu
Ajibu swaliUmeshaambiwa hakuna kupita bila kupingwa,tena kwa wote kazi kwa wanaccm.