johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Makamu Mwenyekiti Mpya wa CCM Mzee Wassira amesema maridhiano ni jambo la lazima katika kudumisha Amani yetu
Wassira amesema Nchi karibia zote za Africa zilipitia Mapinduzi ya kijeshi kasoro Tanzania na zile Nchi za Kusini mwa Africa tulizozisaidia kupata Uhuru Wao
Wassira amewataka Wanasiasa wote kuelewa Faida na umuhimu wa maridhiano Ili tuendelee kuwa salama
Source: Jambo TV
Mlale unono 😄