johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Hauwezi kukwepa maridhiano na serikali vinginevyo utaumia sanaMakamu Mwenyekiti Mpya wa CCM Mzee Wassira amesema maridhiano ni jambo la lazima katika kudumisha Amani yetu
Wassira amesema Nchi karibia zote za Africa zilipitia Mapinduzi ya kijeshi kasoro Tanzania na zile Nchi za Kusini mwa Africa tulizozisaidia kupata Uhuru Wao
Wassira amewataka Wanasiasa wote kuelewa Faida na umuhimu wa maridhiano Ili tuendelee kuwa salama
Source: Jambo TV
Mlale unono π
Mbowe aliridhiana na CCMHauwezi kukwepa maridhiano na serikali vinginevyo utaumia sana
Kapata kidogo kakosa pakubwaMbowe aliridhiana na CCM
Cdm wasiingie tena mtego wa haya maridhiano ya mdomoni ili kuwapa ccm political millage, kisha wakawafanya uhuni tena kwenye uchaguzi wa SM.Makamu Mwenyekiti Mpya wa CCM Mzee Wassira amesema maridhiano ni jambo la lazima katika kudumisha Amani yetu