Wassira siyo muumini wa Rasimu ya Warioba wala Serikali 3, sasa Maridhiano yake na Chadema sijui yatahusu nini Nje ya Katiba Mpya!

Wassira siyo muumini wa Rasimu ya Warioba wala Serikali 3, sasa Maridhiano yake na Chadema sijui yatahusu nini Nje ya Katiba Mpya!

Kwani alisema atafanya maridhiano na Chadema?
Alisema neno maridhiano ni terminology tu sio lazima iwe na Chadema!
 
Watanzania hawataki Katiba Mpya.. wanataka Maendeleo!
 
CHADEMA wanawaza kugawana madaka na CCM wamechoka kufanya kazi bila mishahara.Hayo mambo mnayoyataka subirini na nyie mshike nchi kitu ambacho ni kigumu kutokana na chama kutokuwa na mvuto wa kisera na kiutendaji.
 
Back
Top Bottom