Cute Wife
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 1,906
- 5,000
Akiwa anawasilimia wana CCM na wageni waliofika kwenye mkutano mkuu, Makamu Mwenyekiti CCM Bara, Ndg. Wassira amesema ataanza kushirika na maridhiano, na kwamba hakuna maridhiano na mtu mmoja bali na jamii.
Dongo hilo limerishwa kwa Lissu likiwa la moto kabisa!
Pia soma: Lissu: Habari ya Maridhiano kati ya CHADEMA na CCM ilishakufa baada ya CCM kukataa mapendekezo yote ya Katiba Mpya
"Mwenyekiti wetu ana filosofia ya 4R, kama msaidizi wake namwambia kazi tutakayoanza nayo ni kuendeleza maridhiano. Wengine wanasema maridhiano hakuna, ile ni folosofia haturidhiani na mtu mmoja, tunaridhiana na jamii. Na jamii ina wadau wengi, viongozi wa dini, mshirika yasiyo ya kiserikali, jamii za kimataifa zinazoishi hapa, wote hao ni wadau, tutashirikiana nao katika maridhiano kwasababu sisi ni chama cha amani, kama wewe unataka vita sisi tutakwambia sisi huko hatuendi. Maana amani ndio msingi wa maendeleo."
Pia soma: Pre GE2025 - Stephen Wasira amrithi Kinana nafasi ya Makamu Mwenyekiti CCM Tanzania Bara