Akiwa anawasilimia wana CCM na wageni waliofika kwenye mkutano mkuu, Makamu Mwenyekiti CCM Bara, Ndg. Wassira amesema ataanza kushirika na maridhiano, na kwamba hakuna maridhiano na mtu mmoja bali na jamii.
Dongo hilo limerishwa kwa Lissu likiwa la moto kabisa!
"Mwenyekiti wetu ana filosofia ya 4R, kama msaidizi wake namwambia kazi tutakayoanza nayo ni kuendeleza maridhiano. Wengine wanasema maridhiano hakuna, ile ni folosofia haturidhiani na mtu mmoja, tunaridhiana na jamii. Na jamii ina wadau wengi, viongozi wa dini, mshirika yasiyo ya kiserikali, jamii za kimataifa zinazoishi hapa, wote hao ni wadau, tutashirikiana nao katika maridhiano kwasababu sisi ni chama cha amani, kama wewe unataka vita sisi tutakwambia sisi huko hatuendi. Maana amani ndio msingi wa maendeleo."
Akiwa anawasilimia wana CCM na wageni waliofika kwenye mkutano mkuu, Makamu Mwenyekiti CCM Bara, Ndg. Wassira amesema ataanza kushirika na maridhiano, na kwamba hakuna maridhiano na mtu mmoja bali na jamii
"Wengine wanasema maridhiano hakuna, ile ni folosofia haturidhiani na mtu mmoja, tunaridhiana na jamii. Na jamii ina wadau wengi, viongozi wa dini, mshirika ya kiserikali mpaka kimataifa, wote hao ni wadau... kwasababu sisi ni chama cha amani, kama wewe unataka vita sisi tutakwambia sisi huko hatuendi. Maana amani ndio msingi wa maendeleo.

Ninachompendea Mzee Wasira ni honest, bold and deterministic...Hanaga abstract thinking...Hapa CHAGADEMA wakajipange upya
Ila Mzee wangu we need a true change wananchi walipofika watakosa uvumilivu, pamoja na democracy tunayoitamani lakini vitendo viovu vimezidi na vina muumiza Kila mtu bila kujali mwenye chama, status au rangi yeyote....We need inside change kurejesha nchi kwenye mstari, kuwa mkali kidogo hasa kwenye maadili ya wanasiasa na watendaji...Tusaidie kupata Katiba mpya maana nyie sasa ndiyo last Kadi hizo, mtaenda kujibu Nini huko Kwa muumba?
My fifty cents...Tanzania njema is a must deal bila kujali mvua, baridi au joto Kali...And surely mie kama rafiki wa kweli nakuaminia baba yangu...Remember what my late mother did together with you that year before elections mpaka akapoteza maisha kabla hamjafikia Malengo takiwa; Do not forget the struggle for better Tanzania, please!