Pre GE2025 Wassira: Wanaosema CCm imekaa sana walikuwa wapi wakati tunadai uhuru

Pre GE2025 Wassira: Wanaosema CCm imekaa sana walikuwa wapi wakati tunadai uhuru

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

the guardian 17

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2024
Posts
395
Reaction score
570
"Ndani ya nchi yetu kuna vibaraka ambao wanasema CCM
imekaa muda mrefu sana, na mimi nawauliza walikuwa wapi wakati tunadai uhuru, nawauliza tulipokabidhiwa uhuru tulipatana nao tutakaa kwa muda gani? Kama wana huo mkataba wauoneshe" Stephen Wasira, Makamu Mwenyekiti Bara wa Chama cha Mapinduzi (CCM)
1738217764381.png

Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
 
Huyu Babu mwepesi mno.Eti walikuwa wapi?Simple walikuwa hawajazaliwa.
 
"Ndani ya nchi yetu kuna vibaraka ambao wanasema CCM
imekaa muda mrefu sana, na mimi nawauliza walikuwa wapi wakati tunadai uhuru, nawauliza tulipokabidhiwa uhuru tulipatana nao tutakaa kwa muda gani? Kama wana huo mkataba wauoneshe" Stephen Wasira, Makamu Mwenyekiti Bara wa Chama cha Mapinduzi (CCM)
View attachment 3218340
Ccm ilidai uhuru kweli?
 
Back
Top Bottom