Wassira: Waziri aseme watakaolipa kodi ni wale wenye uwezo, miaka haina maana

Replica

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2017
Posts
1,681
Reaction score
8,887
"Waziri aseme watakaolipa kodi ni wale wenye uwezo, miaka haina maana, hapo unaweza ukaleta crisis ya bure tu watu wataanza kusema wana miaka 17 sababu ikifika 18 watafikiri utadaiwa, vijana wetu tatizo kubwa ni ajira, hivyo tusiwababaishe,"- Stephen Wasira

 
Miaka ina maana kwa sababu Umri huo unachukuliwa ni mtu mzima anaejitegemea japo bwana Wassira ana hoja.
 
Ifike wakati WATANZANIA tuseme HAPANA tena kwa herufi kubwa hatuwezi kuendeshwa wakati tuna akili wameona hatuchukui hatua yeyote huyu mama anatembeza kwato kila kukicha makodi kweny cm kila siku tunakatwa halafu walete kod za kisenge hivi. Imetosha sasa kama nchi imewashinda wakae pembeni.
 
Mkitaka huu upumbavu uishe nchii hii ni kuiondoa CCM, madarakani.

Kuongozwa na watu ambao walishapoteza Dira , mtajaziwa mikodi ya kila aina.
 
Wazira bado haamini kuwa ,muda umemtupa mkono!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…