Wastaafu na kujipitisha kunani?

Wastaafu na kujipitisha kunani?

Shocker

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2012
Posts
1,958
Reaction score
3,890
Imekuwa ni mtindo sasa hawa wastaafu maraisi mawaziri na wengine tele ,wamezua mtindo wa kuingia katika shuguli za kiserikali eti kama wastaafu, kama tunavyojua mwaka wa 2025 CHADEMA wanaibuka kidedea katika uchaguzi wa Uraisi na kugawana wabunge katika sehemu zingine.

Je, hawa wanaojulikana Wastaafu watakuwa na nafasi kama inavyoonekana sasa? Na nikihongezeya hakuna Raisi mstaafu ,wote walimaliza kukaa na cheo hicho kwa mujibu wa Katiba, sasa nipo palepale inakuwaje wanakuwepo katika mambo ya serikali au wana mambo yao ya kulinda interest zao maana CCM ukiondoka wanakukeketa vibaya sana, tumeyaona kwa baadhi ya walioachana na CCM mpaka wametafuta nyumba yao ya maficho kwa kisingizio cha Narudi nyumbani.

Hili jambo nina mashaka nalo. Yaani naisubiri 2025 niwaone wastaafu kama watahamia Nyumba mpya.
 
Kuna kinara wao ndiye anayejipitisha, akina Kayanza na wengine wamewekwa kupoza makali ya igizo lionekane lina nia njema kumbe ni mkono wa genge la MAfia!
download.jpg
 
Mkuu, ustaafu wa Raisi au Waziri Mkuu uko kisheria, sasa wewe unakereka na nini ?
Cjui umeelewa suali ? Kuna kustaafu na kuna kipindi maalum kikatiba ni lazima uondoke,si ulisikia ule uvumi kuwa yule jamaa na bunge chomekwa walikuwa na mipango cha kuondoa kikomo.
 
Yule aliyekuwa Zbr enzi zile baadaye akaja Bara amefanikiwa kumpenyeza moja ya vijana wake kuwa mtawala Kiembembuzi, na huyu mwingine huenda anataka kumpenyeza Prince ili atuuze vizuri kwa wale jamaa wenye macho madogooo!
Kwa hizi code watakaokuelewa ni wale wanaofuatilia matukio yote ya bongo
Vinginevyo umewaacha wengi
Ila mi nimekuelewa hapo kwa wenye macho kama piritoni
 
Imekuwa ni mtindo sasa hawa wastaafu maraisi mawaziri na wengine tele ,wamezua mtindo wa kuingia katika shuguli za kiserikali eti kama wastaafu,kama tunavyojua mwaka wa 2025 Chadema wanaibuka kidedea katika uchaguzi wa Uraisi na kugawana wabunge katika sehemu zingine.
Je hawa wanaojulikana Wastaafu watakuwa na nafasi kama inavyoonekana sasa ? Na nikihongezeya hakuna Raisi mstaafu ,wote walimaliza kukaa na cheo hicho kwa mujibu wa Katiba,sasa nip palepale inakuwaje wanakuwepo katika mambo ya serikali au wana mambo yao ya kulinda interest zao maana CCM ukiondoka wanakukeketa vibaya sana,tumeyaona kwa baadhi ya walioachana na CCM mpaka wametafuta nyumba yao ya maficho kwa kisingizio cha Narudi nyumbani.
Hili jambo nina mashaka nalo. Yaani naisubiri 2025 niwaone wastaafu kama watahamia Nyumba mpya.
Hao mwendazake aliwatukana na kuwananga, kuwabagaza kama mapumbavu, walikaa kimya
 
Hao wastaafu sasa naona wamepata kaupenyo wanapumua, mwendazake aliwafungia vijijini kwao mpaka wakasahaulika, ila hii spidi ya mzee wa Msoga ngoja tuiangalie tuone mwisho wake.
 
Mimi nadhani ingekua vyema wakamwacha Rais wa Sasa afanye mambo yake.

Ili tumpime yeye kama yeye,

Na sio kumpima Rais wa sasa nyuma ya vivuli vya wastaafu.

Napendekeza Rais awe na maamuzi binafsi na wastaafu wapunguze influence kwenye uongozi wa sasa.
 
Hao wastaafu sasa naona wamepata kaupenyo wanapumua, mwendazake aliwafungia vijijini kwao mpaka wakasahaulika, ila hii spidi ya mzee wa Msoga ngoja tuiangalie tuone mwisho wake.
Aliwabana mbavu balaa ahaha
 
Asilimia 51% za Yanga kuwa chini ya Raisi wa Yanga ni kujificha kwenye mchicha kuelekea Mbio za uraisi 2025!!GSM kampuni iliyosukwa kumbeba Prince mtuhumiwa wa dawa za kulevya kule macho madogo ili aingie KITALANI AKAWE VASCO DAGAMA MPYA!!!!WALE CCM MAKINIKIA WAJIANDAE KUONDOKA WENYE NYUMBA WAMERUDI!!!
 
Imekuwa ni mtindo sasa hawa wastaafu maraisi mawaziri na wengine tele ,wamezua mtindo wa kuingia katika shuguli za kiserikali eti kama wastaafu, kama tunavyojua mwaka wa 2025 CHADEMA wanaibuka kidedea katika uchaguzi wa Uraisi na kugawana wabunge katika sehemu zingine.

Je, hawa wanaojulikana Wastaafu watakuwa na nafasi kama inavyoonekana sasa? Na nikihongezeya hakuna Raisi mstaafu ,wote walimaliza kukaa na cheo hicho kwa mujibu wa Katiba, sasa nipo palepale inakuwaje wanakuwepo katika mambo ya serikali au wana mambo yao ya kulinda interest zao maana CCM ukiondoka wanakukeketa vibaya sana, tumeyaona kwa baadhi ya walioachana na CCM mpaka wametafuta nyumba yao ya maficho kwa kisingizio cha Narudi nyumbani.

Hili jambo nina mashaka nalo. Yaani naisubiri 2025 niwaone wastaafu kama watahamia Nyumba mpya.
Wanalinda masilahi yao. Kumbuka: Mwendazake kawajengea makasri.
 
Back
Top Bottom