Wastaafu tunamshukuru Rais Samia, pensheni inaingia kwa wakati

Koryo2

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2016
Posts
2,056
Reaction score
2,519
Leo tarehe 24.3.2022 pensheni kwa Wastaafu tayari imeingia tofauti na nyakati za zamani.

Kwa niaba ya Wastaafu ninakushukuru kwa Wastaafu kupata pensheni yao mapema.

Tunakuombea afya njema ili uweze kuliongoza Taifa.
 
Umestaaafia wapi wewe au umetumwa kuleta propagansda tu hapa? kuna watu wanaendelea kuzungushwa tu huko wanaulizwa barua za ajira sijui barua za kupanda cheo ilhali wamechangia miaka yoooote na record zao zipo. Pensheni za kibongo ni ubabaishaji sana, wala hakuna anayejali as if wao hawatastaafu.
 
Nakuunga mkono, aibu sana kumsumbua mwanachama wenu ambaye miaka yote mnapokea hela yake, lakini inapofika kumlipa mafao yake ni kimbembe. ilitakiwa kuwa hivi, kwa vile details zote anazo mwajiri, basi mifuko iwasiliane na mwajiri kupata hizo nyaraka.
 
Wastaafu tunamshukuru Rais Samia, pensheni inaingia kwa wakati.. hakuna kitu kama hicho.​

wewe ni muongo​

Leo tarehe 24.3.2022 pensheni kwa Wastaafu tayari imeingia tofauti na nyakati za zamani.

Kwa niaba ya Wastaafu ninakushukuru kwa Wastaafu kupata pensheni yao mapema.

Tunakuombea afya njema ili uweze kuliongoza Taifa.

Kushukuru ni uungwana.
 
Ni kweli naona wazee wamefurika kibanda changu cha CRDB wakala hapa ghafla.Wanasema zimeingia

Wanasifia sana Serikali ya Mama Samia
 
Umestaaafia wapi wewe au umetumwa kuleta propagansda tu hapa? kuna watu wanaendelea kuzungushwa tu huko wanaulizwa barua za ajira sijui barua za kupanda cheo ilhali wamechangia miaka yoooote na record zao zipo. Pensheni za kibongo ni ubabaishaji sana, wala hakuna anayejali as if wao hawatastaafu.
Yeye anasemea ambao tayari walishaingizwa kwenye mfumo wa malipo. Hizo nyingine ni hasira zako kwa kuondokewa na fascist jiwe
 
Mama mamaa anaupiga mwingi mno tumecheleweshwa sana km taifa
 
Leo tarehe 24.3.2022 pensheni kwa Wastaafu tayari imeingia tofauti na nyakati za zamani.

Kwa niaba ya Wastaafu ninakushukuru kwa Wastaafu kupata pensheni yao mapema.

Tunakuombea afya njema ili uweze kuliongoza Taifa.
Bei za bidhaa ndio Nazi sasa
 
Back
Top Bottom