Rog chimera
JF-Expert Member
- Apr 28, 2018
- 398
- 706
wastani wa kipato cha mafundi katika fani hizi ukoje
kwa mikoa mikubwa kama Dar, Mwanza,Arusha na Dodoma?
kwa mikoa mikubwa kama Dar, Mwanza,Arusha na Dodoma?
- Fundi simu
- Fundi wa computer
- Fundi umeme wa majumbani
- Fundi wa vifaa vya electronics kiujumla
- Fundi umeme wa magari