Wastani wa kipato cha mafundi kwa mwezi

Rog chimera

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2018
Posts
398
Reaction score
706
wastani wa kipato cha mafundi katika fani hizi ukoje
kwa mikoa mikubwa kama Dar, Mwanza,Arusha na Dodoma?
  • Fundi simu
  • Fundi wa computer
  • Fundi umeme wa majumbani
  • Fundi wa vifaa vya electronics kiujumla
  • Fundi umeme wa magari
 
Ongeza fundi ujenzi
 
Unaleta dharau kwa sisi fundi nguo sio? Sasa mbona hujatu'mention!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…