Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Je naweza pata hicho cheti bila kuchanjwa?....
Hakuna kisichowezekana.....wengine tuna masafari yetu, ila sindano no.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hii ndiyo Tz, wataka cheti bila kuchanjwa
Lazima udungwe sindanoHakuna kisichowezekana.....wengine tuna masafari yetu, ila sindano no.
Vitauzika sanaJe naweza pata hicho cheti bila kuchanjwa?....
Manesi wa kibongo?....+njaa hii, option zitakuwepo tu" pin those few words.Lazima udungwe sindano
Hata certificate za corona watu pale Airport walianza kwenda na fake lakini baadae serikali ilidhibitiManesi wa kibongo?....+njaa hii, option zitakuwepo tu" pin those few words.
Zote hizo wanawachoma mbwa au? Maana hakuna atakayeenda kuchoma zaidi ya hao waliolipwa kufanya maigizoWadau, chanjo zilizopo ni chache, wastani katika mikoa 26 watakao choma ni 38400 kila mkoa
Kila kituo watachoma wastani watu 1800 kumbuka kuna vituo 550
Swali ni Je, ikitokea ukachoma then ukapoteza cheti inabidi ujipange upya kugongwa nyingine au inakuwaje?
wataalamu plz help
Pesa yako tuJe naweza pata hicho cheti bila kuchanjwa?....
Inawezekana, Tz hakuna lisilo wezekana 🤣🤣🤣Je naweza pata hicho cheti bila kuchanjwa?....
Hii ni chapa ya mnyama, hainununuliki🤣🤸🐒Je naweza pata hicho cheti bila kuchanjwa?....
Kule kwa chumba cha kuchanjia zaidi ya nurse kuna mtu mwingine anahakiki?Hii ni chapa ya mnyama, hainununuliki[emoji1787][emoji1732][emoji205]
Suala sio certificate, suala ni jina liingizwe kwenye database ya dunia...ni kama watu waliokuwa wananunua vyeti feki vya NECTA, wakikihakiki kwenye database unakuta hamna kitu🐒Kule kwa chumba cha kuchanjia zaidi ya nurse kuna mtu mwingine anahakiki?
Km ni nurse pekee huoni km kutakuwa na plan B?
Wanachokagua si ni original certificate tu ?
Labda km wanakudunga chip.
NECTA ni process ndefu sana, ninachozungumzia ni ile process ya robo dakika..... [emoji28] canabis mbona huelewi?Suala sio certificate, suala ni jina liingizwe kwenye database ya dunia...ni kama watu waliokuwa wananunua vyeti feki vya NECTA, wakikihakiki kwenye database unakuta hamna kitu[emoji205]
Hahaha sawa mkuuTunascan na kuprint vyeti vya uthibitisho wa kuchanjwa. Karibuni sana
Kupewa kadi ya karatasi ni rahisi, swali linalokuja ni je jina lako litaingizwa electronically kwenye mfumo wa rekodi za waliochanjwa ? Its the same semantics, hata kadi za mpiga kura wapo wanaochapisha fasta ndani ya dakika chache lakini ukiingia kwenye database ya NEC unakuta hamna kitu, umeelewa sasa ?🤣🤸🐒NECTA ni process ndefu sana, ninachozungumzia ni ile process ya robo dakika..... [emoji28] canabis mbona huelewi?
Process zote nafanya,ila ya kutoboa tu nairuka.Kupewa kadi ya karatasi ni rahisi, swali linalokuja ni je jina lako litaingizwa electronically kwenye mfumo wa rekodi za waliochanjwa ? Its the same semantics, hata kadi za mpiga kura wapo wanaochapisha fasta ndani ya dakika chache lakini ukiingia kwenye database ya NEC unakuta hamna kitu, umeelewa sasa ?[emoji1787][emoji1732][emoji205]