Wastara afunguka kuwachukia wanaume wenye rangi nyeupe


Samahani hivi kule nchini India alienda kutibiwa Mguu na Akili zake au kimojawapo?
 
Huyu maza anapenda sana kuolewa. Anyamaze jamani inatosha..
 
Umalya wake bado anauendeleza hata mguu bado hajapona.kitu gani kinamuwasha huyu dada na atakayemuoa huyu inabidi ajipange kweli kweli.Lidada linalamika siku nzima
 
Akiwa anaomba misaada anakuaga muungwana sana!

Ila akipata nafuu tu, anaanza fujo!

Pumbav zake
 
Kwanini asitulize genye yaani ye ni wakulia lia akiwatuhumu wanaume?
Kwa Hali aliyonayo angetulia tu mwanaume atakaye mpenda atampata Mungu akipenda ila kwa kuzitangazia media tutamuonja sana wa kuoa hatopatikana humu.
 
huyu dada si aliwahi kuishi na mfumua marinda anaitwa Bond Sultan?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…