mangekimambi_Chekini tarehe, last time alipopatiwa pesa za matibabu takribani 40million alienda India akakaa 7 days only. Ukitoa na zile siku za safari ni kama alikaa India 5 days only. So mamilioni yooote yale aliyatumia hospitali in 5 days?? Yani kama alizuga India hizo siku 5 ili watu waone kweli alienda kutibiwa. I think alinunua mguu mpya tu huko India.akajifanya sijui anafanya physiotherapy, physiotherapy ya siku 2?. Baada ya hizo siku 5, akajikatia ticket ingine ya ndege akaenda zake vacation Muscat, akaaa Muscat almost 1 month. Imagine safari ya ugonjwa ila 5 days ndo hospitali alafu 1 month anakula bata Muscat .swipe pich aza mascat akawa anaposti biashara, Imagine alikuwa na pesa za kununua makeup za MAC auze bongo anawaambia watu watoe order za MAC. Tena anajisifia kuwa analeta bonge moja ya mzigo na madish dash. Naona kafuta caption zake za biashara na zile posti za madish dash. Huko India tu hizo 5 days alikuwa anaonekana masokoni ananunua biashara
.
Sasa ulizeni why mastaaa wamemchunia this time. Hiyo mara ya mwisho mastaaa wenzie ndo walikuwa wanampigia debe, kaka yake wastara ndo alipeleka habari bongo movie kuwa dadake mgonjwa sana anatakiwa kupelekwa India. Bongo movie wakaanza kuchakarika na michango wakijua mtu mgonjwa sana, wakimpigia simu analiaaaa mguuu unamuuma mara paap picha zimeachiwa mitandoni Wastara mzimaaa wa afya anaolewa na mbunge ndo pale wenzie walipomjua tapeli. .
.
Wastara alitoka Muscat na mzigo wa biashara alafu risiti za matibabu hana ndo maana yule mumewe alichefukwa akampa talaka. Mbunge wa watu hakurudishiwa hata senti na Bunge sababu mke hana risiti ya kitu chochote chamatibabu.Kweli wewe upokeee pesa za misaada then huleti risiti instead unashuka kwenye ndege na biashara?
.
.
Huyo Wastara ilitakiwa akisema anaumwa mguu mtu ndo apewe pesa ampeleke India ila yeye asiguse hizo pesa hapo msingekaaa msikie analia mguu ila hiii ya akilia mguuu unamuuma anapelekewa mabulungutu ya pesa weeeee kila mwaka mguuu utaleta matatizo huo
.
.
.
Naomba nirudie tena ahsante Wastara kwa kuninyooshea Magu . Hapo ndo uliponifurahisha