Wastara ni mkweli au mpigaji.. anatumia ugonjwa kula hela za wachangiaji?! hoja ya risiti

Kwaiyo uyo sijui mange kimavi akipewa hizo mil 40 atakua tayari kuvunjika mguu? . Kwahiyo walitaka kisa wamemchangia ndio asiendelee na Mambo yake binafsi awe analia tu na kushinda hospitali? Awe tapeli au iwe ni kweli, huyu wastara kwa aliyopitia anachochangiwa anastahili.Uyo mange akapimwe mkojo kama wenzake akina nabii tito, deo kisandu na Dr shika.
 
Hii Tabia ya tatizo lako kulifanya la Taifa huwa inanipa Ukakasi sana.., ukijumlisha na Kujiliza liza ili kutafuta huruma ndo huwa namuona Tapeli tu, hivi anafikiri mwenye matatizo ni yeye tu???
Umeongea point....Issue yake kaifanya ya Taifa,by the way wengi wana tatizo la mguu kama yye,Mange katufumbua macho!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…