Wastara: Wanataka kunioa ili wanichezee

Wastara: Wanataka kunioa ili wanichezee

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Msanii wa filamu Bongo, Wastara Juma amefunguka kuwa tangu mume wake Juma Kilowoko ' Sajuki ' afariki dunia , wamekuwa wakijitokeza wanaume kibao wakitaka kumuoa lakini amegundua wengi wana nia ya kunitumia tu . Msanii wa filamu Bongo , Wastara Juma .

Akizungumza na mwandishi wetu hivi karibuni , Wastara alisema kama mwanamke amekuwa akitamani kumpata mwanaume wa kumfariji lakini kinachomchanganya ni sampuli ya wanaume wanaotuma maombi kwake.

"Mpaka sasa wameshanitokea wanaume zaidi ya kumi lakini wengi wao nawaona wananitaka ili kujua nini nilichonacho na wengine wananifuata wakidhani watapata mali na si mapenzi ya dhati . "Kimsingi wanataka tu kujua Sajuki alidata na nini kwangu , mimi siko hivyo .

Siwezi kumruhusu mtu aingie kwenye maisha yangu kwa masilahi yake . Ninayemhitaji namjua moyoni na ipo siku nitampata kwani siangalii mfuko wa mtu, naangalia tabia , " alisema Wastara .
 
Anajitangaza tu hana lolote,sema hajampata bilionea aliekua anamtafuta
 
Anajitangaza tu hana lolote,sema hajampata bilionea aliekua anamtafuta

Mmh anavyohangaika sasa, sasa ivi anakwambia haangalii mfuko tena anataka mwenye tabia nzuri, yani siku izi kawa mcharuko huyu yani akilala akiamka anaropoka analojisikia, nyie Nyeg3 mbaya jamani usikie tu kwa mwenzio, hapa anahangaika kinamuwasha tu hana lolote.
 
Mmh anavyohangaika sasa, sasa ivi anakwambia haangalii mfuko tena anataka mwenye tabia nzuri, yani siku izi kawa mcharuko huyu yani akilala akiamka anaropoka analojisikia, nyie Nyeg3 mbaya jamani usikie tu kwa mwenzio, hapa anahangaika kinamuwasha tu hana lolote.

kwani si ndio huyu aliyevalishwa pete london? au nina makengeza au maisha yao ni usanii mtupu?
 
kwani si ndio huyu aliyevalishwa london? au nina makengeza au maisha yao ni usanii mtupu?

Wala huna makengeza ndo huyo huyo, sasa sijui walikuwa wanaigiza au ndo kashatapeliwa maana jamaa mwenyew aliyemvisha pete nasikia alienda UK kwa hisani ya dada na anakaa na sista yan jamaa ni marioo tu analelewa na dada
 
Kwanii mapenzi si ni kuchezeanaa auu! !!!
 
Mmh kujitahidi kote kule kwa sajuki watu wakamsifia mwanamke bora anayefaa kuigwa nikajua mumewe akifa tu watu wanabeba mzigo, naona had leo kimya huyu atakuwa katupiwa mambo yetu sio bure

Ila watoto na wenyewe wanamlostisha, aya anayetaka kulea mitoto ya watu nani sasa ivi? Tena wawil bora angekuwa mmoja, huo nao mtihan kwa kweli, watu wanataka watoto wabichi tabia nzur ata kuku anayo, bi shost kapiga Km za maana watu hawamtaki kashakuwa used

Kumbe ana watoto wawili au mmoja??
 
Msanii wa filamu Bongo, Wastara Juma
amefunguka kuwa tangu mume wake Juma
Kilowoko ‘ Sajuki ’ afariki dunia , wamekuwa
wakijitokeza wanaume kibao wakitaka
kumuoa lakini amegundua wengi wana nia ya
kunitumia tu .
Msanii wa filamu Bongo , Wastara Juma .
Akizungumza na mwandishi wetu hivi
karibuni , Wastara alisema kama mwanamke
amekuwa akitamani kumpata mwanaume wa
kumfariji lakini kinachomchanganya ni
sampuli ya wanaume wanaotuma maombi
kwake.
“Mpaka sasa wameshanitokea wanaume
zaidi ya kumi lakini wengi wao nawaona
wananitaka ili kujua nini nilichonacho na
wengine wananifuata wakidhani watapata
mali na si mapenzi ya dhati .
“Kimsingi wanataka tu kujua Sajuki alidata
na nini kwangu , mimi siko hivyo . Siwezi
kumruhusu mtu aingie kwenye maisha yangu
kwa masilahi yake . Ninayemhitaji namjua
moyoni na ipo siku nitampata kwani siangalii
mfuko wa mtu, naangalia tabia , ” alisema
Wastara .

Hivi hamna namna wasanii wetu wanaweza kuishi bila kuweka maisha yao ya binafsi kwenye public? Au ndo wanaongeza washabiki na magazeti kuuzwa!!!!
 
Kumbe ana watoto wawili au mmoja??

Wawili, we unadhan watu wanamkimbia bure? Nani anataka mizigo sasa ivi, wewe mwenyew mzigo aya na hivo vi kinda mnafanyaje?, mmoja alizaa na mumewe mwingine sajuki nae ndo kazaa nae huyu wa sasa ,aliachika mara mbili nadhan kabla ya sajuki kama sijakosea
 
Hivi hamna namna wasanii wetu wanaweza kuishi bila kuweka maisha yao ya binafsi kwenye public? Au ndo wanaongeza washabiki na magazeti kuuzwa!!!!

Wanatafuta madanga binamu, kweli dunia tambara bovu had wastara nae anajinad mtandaoni
 
Ila kiukweli wasanii bongo shule hakuna kiasi kwamba vichwa vimejaa vinyesi na sio akili!Uliolewa na sasa mjane haya mambo sijui ya nataka bilionea,sijui nimevishwa pete,mara wanaume wananisumbua na takataka nyingine.Ni upumb.avu kuanika "MAMBO YAKO BINAFSI KUWA YA KITAIFA". Au unatafuta huruma ya watanzania?Una akili chache sana wewe mwanamke.Na utapata wanaume wa aina yako
 
Ila kiukweli wasanii bongo shule hakuna kiasi kwamba vichwa vimejaa vinyesi na sio akili!Uliolewa na sasa mjane haya mambo sijui ya nataka bilionea,sijui nimevishwa pete,mara wanaume wananisumbua na takataka nyingine.Ni upumb.avu kuanika "MAMBO YAKO BINAFSI KUWA YA KITAIFA". Au unatafuta huruma ya watanzania?Una akili chache sana wewe mwanamke.Na utapata wanaume wa aina yako

Akijificha ndani nani atajua kama kapata mtu, anajitangaza watu wajue kabisa hana ndo anatafuta yani huyu umalaya sijui kaanzia wapi mmh
 
Walaaa nimemkumbuka sajuki alivyokuaa

Unajua mimi binamu sina IMANI kabisa na yule rafiki yake sajuki anaitwa DEOGRATIUS SHIJA, nasikia jamaa kabla ya wastara na sajuki kuoana alimpendaga wastara na walikuwa marafiki sana na sajuki, sasa nasikia Deo akamtuma sajuki kwa wastara akamtongozee, haya sajuki nae kujifanya kidume kaenda kumtongoza yeye wastara na wastara akakubali wakaanza mahusiano, hata wewe ungekuwa Deo ungefurahi?

Tokea apo ndo mabalaa yakaanza kuwakumba, kabla hata ya ndoa wastara akapataga ajali ila sajuki alimuoa hivyo hivyo maskini( mungu amlaze mahali pema) unajua ni wanaume wachache wenye moyo kama sajuki(apa machozi yananitoka binamu).

Na tokea kipindi kile wastara awe na Sajuki, urafiki wake na deo ukafa mpaka sajuki alipoiaga dunia hawakuwa marafiki, hata kama ulikuwepo ulikuwa wa kinafki, Ugonjwa wa sajuki nahis ni wa kulogwa na Deo ndo yupo nyuma ya mchezo wote
 
Binamu eeh, nasikia mtoto wake wa kwanza alizaaga na yule mwanamuziki Solo thang, unamkumbuka nahisi

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Namkumbuka vizur, nae anayaweza kweli, si nilisikia pia aliwah kuolewa na mwarabu akaachika, mmh huyu nyie
 
ana watatu wa kiume wawil wa kike mmoja

Uwii binamu, presha inashuka, halafu ndo anatuambia hatak kuchezewa na wanaume? Hachezeweje wakat watu washamchakaza na kumzalisha watoto watatu au alikunywa pombe wakat ana hojiwa.
 
Back
Top Bottom