Salam wanajamvi
Naomba kuuliza yule jamaa wavituko kila kukicha alikua anajiita WASTENDI ivi yupo wapi? nikati yawatu waliokua wanachangamsha sana jamvi sasaivi simuoni je nikweli haonekani humu au nimimi tu ndio simuoni ? au umebadilisha ID mkuu umekuja na ID nyingine...?