Wasukuma acheni ushamba mnapokuwa kwa ndege

britanicca

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2015
Posts
16,295
Reaction score
33,994
Ndipo rubani akatoa taarifa kwamba ndege imepata hitilafu na itadondoka baada ya dakika 10. Ndani ya ndege kulikuwa na watu watano Lakini maparashuti yalikuwa manne tu. Watu hao ni mchungaji, waziri, mwanajeshi, msukuma na mwanafunzi wa chekechea, Mchungaji akasema yeye anategemewa na kanisa hivyo hapaswi kufa. Akachukua parachute akaruka. Waziri akasema wananchi wanamtegemea alete maendeleo, Akachukua parachute akaruka.

Msukuma akasema familia inamtegamea akachukua parachute akaruka faster. Wakabaki mwanajeshi na mwanafunzi wa chekechea. Yule mjeshi akamtazama mwanafunzi akamuonea huruma kisha akasema. Mimi najitolea kufa kwa ajili yako, we chukua hilo parachute lililobaki ujiokoe halafu mi nitakufa na hii ndege. Yule mwanafunzi akajibu "usijali yamebaki maparashuti mawili" yule mjeshi akashangaa😨😨 akauliza mawili kivipi.? Mwanafunzi akasema YULE MSUKUMA KACHUKUA BEGI LANGU LA SHULE ALIDHANI NI PARASHUTI...
😂😂😂😂wasuka bwana
Usicheke peke yako mtag mtani wako

Britannica
 
Huyu msukuma alie chukuwa begi la mwanafunzi kafa acha waendelee kupungua na ushamba wao hivo hivo......mgine alisema waendesha ist ndowanaleta foreni jijini [emoji316][emoji316][emoji316]
 
britanicca,
Lakini ndo wanaoleta maendeleo, SGR, STIGLERS,barabara za juu, wmawaziri, wakuu wa mikoa,wilaya wakurugenzi, mabalozi, wakuu wa taasisi mbalimbali, usalama wa taifa, CDF, na sasa CAG. wASUKUMA MBELE KWA MBELE
 
Wewe nae huna Hakili hivi Kabila la Kisukuma unalichukulia kua watu wake Hohehahe...? Fikiria@2times then unapost Jumbe zako..!
Inawezekana ni mtani wa wasukuma haina haja kukasirika ni zamu yao kutaniwa kudhihakiwa na mengineyo nakumbuka wakwere waliipata humu pia
 
H[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…