Chief Sanze
JF-Expert Member
- Jun 13, 2014
- 1,668
- 3,736
.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
watu wahovyo apa tanzania ni wazaramo,wahehe,wagogo na wenyeji wa morogoro.jingasana hawa watuUsijali ni watani zangu hao
hahahahahahahahahaMwambie akupe elfu hamsini na hakikisha unalipeleka feri kulipandisha kwenye pantoni kwa nauli ya kwenda Zanzibar
Me msukuma Ila hii nimechekaa sanaaa🤣🤣🤣🤣🤣🤣nimekaa na msukuma hapa kwenye gari nimemfungia mkanda was gari kwa elfu tano nasubir mda wakushuka sijui n mfanyie shingap
Huo siyo ujinga ni utamaduni wao.Hao uliowataja ujinga wao hawawafikii Wasukuma na Wanyamwezi ebu angalia pamoja na kujaaliwa utajiri wa ng'ombe lakini wanashindwa kujenga nyumba nzuri matokeo yake wanalala na ng'ombe si unaona hata kuchangia ujenzi wa shule wanashindwa matokeo yake watoto wao wanasomea chini ya miti na wanakuwa vilaza kama huyo mtoto kwenye hiyo clip
Unawatukana viongozi wa nchi etNi utamaduni wa kijinga hivyo ni ujinga
Mi najua wa2 tu wapo dar wengine ni fata upepo tuViongozi wa nchi ni wa makabila mbalimbali, acha uchochezi
Mbona wazungu wanaangalia ml kilimanjaro kwa Dola za kutosha?Mwambie akupe elfu hamsini na hakikisha unalipeleka feri kulipandisha kwenye pantoni kwa nauli ya kwenda Zanzibar
Wewe unamuina zuzu lkn unavusha barabara kwa elfu 50.Hao wazungu wanatoa hela kwa kutalii lakini hilo sukuma ni zuzu limepigwa hakuna njaa hapo acha kujifariji na mazuzu wenzako, wasukuma ni majitu ya ovyo sana.