Wasukuma bhana

nimekaa na msukuma hapa kwenye gari nimemfungia mkanda was gari kwa elfu tano nasubir mda wakushuka sijui n mfanyie shingap
Me msukuma Ila hii nimechekaa sanaaa🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Huo siyo ujinga ni utamaduni wao.
 
Mwambie akupe elfu hamsini na hakikisha unalipeleka feri kulipandisha kwenye pantoni kwa nauli ya kwenda Zanzibar
Mbona wazungu wanaangalia ml kilimanjaro kwa Dola za kutosha?
Hiyo maana yake wana hela.
Tatizo lenu njaa kubwa
 
Hao wazungu wanatoa hela kwa kutalii lakini hilo sukuma ni zuzu limepigwa hakuna njaa hapo acha kujifariji na mazuzu wenzako, wasukuma ni majitu ya ovyo sana.
Wewe unamuina zuzu lkn unavusha barabara kwa elfu 50.
Mzungu pia unamkodisha toka airport kwa bei kubwa kuliko kawaida hashangai.

Acha hela iongee.
Sisi tunawagongea dada zenu wengine shemji zenu bao kwa laki 1
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…