Wasukuma hawaoni thamani ya barabara hizi na kuzitumia kinyume na matumizi kusudiwa

ichumu lya

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2016
Posts
2,651
Reaction score
2,790
Nimepita Chato kwa Raia namba 1 Tz nimeshangaa barabara za lami zinavyojengwa mpaka vijijini lakini wajengewa hawaoni thamani ya barabara hizi na kuzitumia kinyume na matumizi kusudiwa.
Wanapanga bidhaa mpaka katikati ya barabara kama una gari inabidi ushike uwaombe wakupishe.

Ivi ni kweli wasukuma wako juu ya sheria
 
Mbona nyie huko Dar mnapanga vitu barabarani. Au kwa vile sisi wasukuma nyie wazaramo siyo?
Anatuchukulia poa kwamba sisi ni mashkolo mageni sasa nasemaje
.
Ulintubafushi ubhebhe welimikano nang'ho egeko uli nyaaaana akaseme kwa mods sasa
 
Mleta Uzi utakuwa hujawahi pita mtaa wa Congo pale kariakoo
 
Bora chato tunapanga mahindi, Kariakoo mnapanga Bamia!!
 
Wasukuma ipo siku watakuja kutupiga makabira mengine kama inavyoendelea SA maana wakikuona tu unaongea lugha nyinginge wanaanza kukuita jogori.
 
Hawa ndio wasukuma hawana tofauti na hawa
 
Mleta Uzi utakuwa hujawahi pita mtaa wa Congo pale kariakoo
Mkuu najua kwanini mtaa wa kongo uko ivyo kwasababu za kimazingira na utawala mbovu toka wakati wa kikoloni lakini Chato ni mji mpya ulipendelewa toka raia namba moja wa sasa akiwa Waziri wa ujenzi kwahiyo mji umepangwa vizuri na mitaa yake imepangiliwa vizuri huwezi kuulinginisha na mtaa wa kongo.
Narudia tena ushamba wa wasukuma unamwaibisha raia namba moja.
 
Sasa jamaa mbona sikupati vzr,kwahy wasukuma si ndo washamba kwa imani yako?mbona raisi ni musukuma kwann ukubali kuongozwa na mshamba wakati ww ni mjanja? Nambie ushamba maanake nini?
 
Aliyeweka huu uzi ni bozozo hajielew, kariakoo watu hawapangi bidhaa mpk road ww kwa upumbavu wako umeona chato tuu!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…