Wasukuma na wafipa ni wachawi

mbona fisi kwa wasukuma kawaida,ukienda pale magu usiku pikipiki aina ya toyo zinakua nyingi nilipouliza nikaambiwa nyingine ni fisi..unaweza zani umepanda bodaboda ya toyo kumbe fisi!
 
mbona fisi kwa wasukuma kawaida,ukienda pale magu usiku pikipiki aina ya toyo zinakua nyingi nilipouliza nikaambiwa nyingine ni fisi..unaweza zani umepanda bodaboda ya toyo kumbe fisi!

Na wewe ukaamini hayo maneno?

Halafu wewe ni msomi upo chuo kikuu!
Aisee ndiyo maana nchi hii mambo vuluvulu!!
 
kwani nimekasirika??
Au nimekuwa mkali??

Msiwe wakali kiivyo wajameni uchawi mbona ni utamaduni wa kabila zetu? Mboni Wachaga wanambiwa ni wezi hawawi wakali! Njie tulieni jivunieni hiyo science yenu ya ugagula!
 
Na wewe ukaamini hayo maneno?

Halafu wewe ni msomi upo chuo kikuu!
Aisee ndiyo maana nchi hii mambo vuluvulu!!

unakaa Magu sehemu gani ndugu? Siwezi kupuuzia,huyo kwenye picha ni Fisi au mbuzi,je waweza kumkamata Fisi kama hivyo? Uchawi hupo hata maprof wanazindika.
 
unakaa Magu sehemu gani ndugu? Siwezi kupuuzia,huyo kwenye picha ni Fisi au mbuzi,je waweza kumkamata Fisi kama hivyo? Uchawi hupo hata maprof wanazindika.

Nipo Nyanguge mami.

Ndiyo maana nikashangaa. Na bado ninashangaa na aina ya wasomi TZ,kama wewe unajiita msomi unakua na mawazo ya kishirikina kama hayo.

Hapo hakuna uchawi wowote. Ni sayansi tu hiyo. Ukishaweza kuelewa tabia za mnyama yoyote,utamchezea na kucheza nae utakavyo.
Sasa si utakufa kwa kushangaa ukiona watu wanacheza na simba na chui!

Hachana na imani hizo kijana. Ebu jaribu kufikiri kama mtu ambae hakuogopa umande eboo!
 
Naogopa BAN..
hahahaha. AAngekuwa mzungu mngemsifia kwa telinologia sasa mtanzania amejaribu imekues nongwa. hiyo ni namna ya kutest nguvu za madawa ya kiiasili. Kwanini msishauri viwekwe vituo vya utafiti huko
 
kwani makabila mengine hayana wachawi?
 
mchawi wa kisukuma akionyesha fisi mbele ya mchawi mwenzie mfipa anaechekelea......hawa ndio wanaoturudisha nyuma kimaendeleo.......ndio maana ufipani bado giza na sishangai waziri mkuu pinda kuwa na mawazo ya kigarula garula

Kwa vipi Wasukuma wanakurudisha nyuma? Umeshafika Mpanda, Ulanga au Kilombero hebu angalia walivyobadilisha kilimo cha mpunga. Kama hufahamu sababu zinazotufanya turudi uliza wanajamvi watakusomesha.
 
Huku kwetu fisi wana majina....chausiku,tabu,mashaka,mbezwa n.k
 
Msiwe wakali kiivyo wajameni uchawi mbona ni utamaduni wa kabila zetu? Mboni Wachaga wanambiwa ni wezi hawawi wakali! Njie tulieni jivunieni hiyo science yenu ya ugagula!

mbona mnapoenda kushangaa wanyama sabasaba hamsemi wale waonyeshao ni wachawi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…