wasukuma wapo vizuri

zwenge ndaba

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2016
Posts
2,037
Reaction score
3,598
Buying flowers to ur Sukuma girlfriend is not a problem at all. The problem is when you receive her SMS*.. Mpenzi mboga za majani ulizoninunulia hazina ladha nzuri ,labda nimekosea kuzipika, ningeunga karanga sio?
 
Lakini huu utamaduni wa maua mnautoa wapi. Tena amekusaidia sana kuonja, alipaswa akutengee hivyo hivyo mezan. Zawadi za kiafrika ni chakula na mavazi full stop.
 
Hata m hapa nlpo juzi kwenye graduation nmeletewa maua kbao sa nkawa nawaza si bora nkaenda stationery nkayauze npate pesa sa maua m ntakaa nayo ili iwwje ,,daaa tupen vitu asilia ,,mwningne afazali kanletea socks JAPO KUBWA NTAKOMAA NAzo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…