Wasukumu wana vituko na mambo ya ajabu ajabu......nipe nikupe

tatum

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2018
Posts
5,786
Reaction score
4,491
'Usukumani' mwanamke ndiye anayeta mali nyumbani (ng'ombe) wakati anachumbiwa na kuolewa, lakini kijana wa kiume hutumia ng'ombe walioletwa na dada yake kwenda kuolea
 
'Usukumani' mwanamke ndiye anayeta mali nyumbani (ng'ombe) wakati anachumbiwa na kuolewa, lakini kijana wa kiume hutumia ng'ombe walioletwa na dada yake kwenda kuolea
Katika watu wa vituko, nao hawako nyuma!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…