Waswahili tulishindwa kusema Young African!

Barbarosa

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2015
Posts
22,584
Reaction score
27,817
Ikawa tunaita Yanga, mpaka leo hii ni Yanga tu, hivi kwa nini hawakubadilisha jina na kuleta lingine lenye maana? Mbona Simba walibadilisha kutoka Sandalendi (Sunderland)?
 
Hawakuona ulazima wa kubadilisha.
 
Ukisema Young Africans unamaanisha Vijana wa Africa. Na ukiwaita Younger (Yanga) wala hukosei maana ni younger than you. Hakuna kilichoharibika
Ikawa tunaita Yanga, mpaka leo hii ni Yanga tu, hivi kwa nini hawakubadilisha jina na kuleta lingine lenye maana? Mbona Simba walibadilisha kutoka Sandalendi (Sunderland)?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ