Waswahili wanasema Muhuni hasusiwi,na akisusiwa yeye hajali anakula tu

Mwande na Mndewa

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2021
Posts
1,322
Reaction score
3,648
Waswahili wanasema Muhuni hasusiwi,na akisusiwa yeye hajali anakula tu! Ila muungwana akisusiwa anauliza,kwa nini mmesusa,ebu tuwasikilize na tufikie muafaka.
 
Mhuni hupenda kufanya mambo kihuni, nje ya utaratibu, kuvunja sheria, kukiuka kanuni nk
Mhuni daima hana adabu
Mhuni daima hana nidhamu
Mhuni daima hana hekima
Mhuni daima hana heshima
Mhuni daima hana haya!
Mhuni daima hana akili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…