Wataala wa mambo wanasema, hizi ndizo nguo watazovaa Diamond na Wema siku ya harusi yao

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304

When your are talking about the super stars artist of Tanzania, basi kiukweli hutaacha kumtaja wema sepetu na diamond the platnumz, kiukweli the guys are hot and they know how to play with mass, Hizo nguo unazoziona hapo juu zimeshonwa na manager wa wema sepetu Martin kadinda ambaye pia ni designer mkubwa wa diamond the platnumz kwenye vazi la single button, kiukweli zimekaa poa mpaka blog ya makubwa haya ikaamua kutafuta the whole idea ya mavazi hayo. As we know that this guys wapo kwenye relationship ya mda mrefu almost for years, na wamekuwa wakigombana na kurudiana but for know wamesettle, So martin kadinda akaamua kushona nguo hizo na kupropose kwamba ziwe ndo nguo zao za harusi na akasuggest wavae kwenye sandolf yao kwani kiukweli zimewapendeza sana n the cloth look lovely to them
 
Kumbe wanataka kufunga ndoaa hahhha Makubwaaaa tutajionea mengiiiii maana tunasikiaga tu kuhusu ndoa wala hata hawafungii
 
Kumbe wanataka kufunga ndoaa hahhha Makubwaaaa tutajionea mengiiiii maana tunasikiaga tu kuhusu ndoa wala hata hawafungii

Watafunga ndoa wema akifikisha miaka 18 si unajua miaka ya wema inatoka juu kwenda chini
 
Hivi wema kipindi kile walifunga ndoa na Jumbe eeh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…