Wataalam Embu Nisaidieni

Wataalam Embu Nisaidieni

Komavu

Senior Member
Joined
Apr 30, 2008
Posts
132
Reaction score
33
Wife kwa bahati nzuri ana mimba, kwa sasa ina miezi miwili na nusu. Tatizo linakuja
baada ya kufikisha hii miezi miwili amekuwa very trouble some, yani kumegwa
anaona kama adhabu kila nikitaka kummega lazima kwanza alalamike weeeee ndo akubali.

Mbaya zaidi mi naona amezidi kuwa na mvuto na huwa naingiwa na pepo wa
kumega mara kwa mara na hapo ndo kasheshe sasa.

Hivi haya ndo mabadiliko yenyewe yanayowakumba hawa ndugu zetu wakishadungwa ama?na kama mabadiliko huanza mapema namna hii basi
hongereni mliotangulia kupata watoto.
 
Hiyo ni kawaida kwa mwanamke mjamzito kuwa na low sex drive during first trimester ya ujauzito, hii kutokana na kipindi hichi cha miezi 3 kuna mabadiliko mbali mbali kwenye mwili wake. Second trimester mwenyewe utafurahia, sex drive yake itakuwa high.

Note:Neno ulilotumia la kumdunga mimba wala sio zuri.
 
Thanks Pretty kwa ushauri, basi nimebadilisha hilo neno sorry kama umekwazika mi naliona la kawaida kumbe si zuri doh!.
 
Hiyo ni kawaida kwa mwanamke mjamzito kuwa na low sex drive during first trimester ya ujauzito, hii kutokana na kipindi hichi cha miezi 3 kuna mabadiliko mbali mbali kwenye mwili wake. Second trimester mwenyewe utafurahia, sex drive yake itakuwa high.

Note:Neno ulilotumia la kumdunga mimba wala sio zuri.

Mi mbona sikupata namna hiyo....Pregnancy ya kwanza uroda mara moja tu....alipofikisha miezi minne....mtoto wa pili ndio kabisa....zero mpaka miezi kama 6 baada ya delivery.......mbona ilikuwa adhabu....!!
 
Najua kuwa wakifikisha miezi ya mbele mbele wee kama haupo karibu anaweza megwa nje, maana ndio anahitaji ile mbaya na anataka jamaa uwe karibu yake, anakua na joto la ajabu sana, vumilia ila baadae utaenjoy sana hadi utachoka wewe
 
Back
Top Bottom