Wataalam hiyo mistari ina kazi gani?

Mkuu hii mistari kwa nilivyoskia ni kwamba imewekwa kwa ajili ya ndugu zetu wasioona na wanaweza kutambua vizuri tu kwamba hii ni ngapi na hii ngapi!? Kama nimekosea mnisahihishe
 
Uko sahihi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…