Wataalam mnaoagiza magari Japan

MissM4C

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2012
Posts
1,740
Reaction score
1,005
Wakuu msaada katika kupita pita kwenye mtandao, nikakutana na hii gari na kujaribu kuiquote price ikaja hivi
Je hizo bei maana yake nini na ninaweza ipata kwa gharama mpaka mkononi mwangu msaada wakuuu
Tafadhari
 
View attachment 1610480

Kodi ya TRA - 9.3m
Port charges/ warfage and other cost - 1m
Kuagiza japani - 9m

Jumlisha upate jumla yake hapo

Link ya kuangalia kodi TRA hii hapa
 
Hakuna namna ya kufanya ikawa chini ya hapo mkuuu wangu? Ujanja janja

Ujanja ujanja hakuna siku hizi

Labda ununue iliyotumika hapa dar ndo bei inaweza ikapoa kidogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…