Voice of Tanzania
JF-Expert Member
- Sep 23, 2018
- 2,036
- 3,107
- Thread starter
-
- #21
Asante mkuu naweka pichaUkisha disconnect washa pc , ikiwaka itadai boot device, utazima na uta connect disk peke yake, alaf uashe Tena , pia piga picha uwe unatuma
Washa uone kweny screen inasemajeAsante mkuu naweka picha
Aisee ujumbe BAdoWasha uone kweny screen inasemaje
Ni ishu ya motherboard.Nimewasha computer yangu yangu ni desktop aina ya dell Lakini inaniletea ujumbe huu shida Nini hapa wadau na nasolve aje ?
Maana kisukari kishapanda hapa
Aisee yawezekana mana katika angalia angalia tutorial wataalam wengi wanadai ni video card ndo inashida imelala hyo ni balaa zitoNi ishu ya motherboard.
Unatakiwa kubadili motherboard
Try this, Zima pc toa kwenye umeme, kwenye motherboard toa CMOS( ki betri kdogo Kama Cha saa). Ukishatoa , shikiria button ya kuwashia kwa muda wa seconds 30. Alaf achia, Sasa connect disk peke yake, na keyboard na mouse alaf chomeka kweny umeme uashe Tena. Ikikata ku boot, video card kweny motherboard imeharibkaAisee ujumbe BAdo