Wataalam naomba kujuzwa garama ya vitu hivi

Wataalam naomba kujuzwa garama ya vitu hivi

Kibwetelo

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2018
Posts
732
Reaction score
599
Habari za asubuhi wakuu natumai wote wazima, kama title inavosema naomba kujuzwa gharama za
Camera ndogo ambazo zitaunganishwa na sim yangu popote nitakapokua niweze kupata picha za eneo nilikozifunga. Over
 
Alie mwelewa tafadhari
Naweza nikawa sijaeleweka ila mi nataka nijue gharama za camera ambazo zinamfumo utakaounganishwa na simu yangu kama nimekosea modes naomba mnirekebishe.
 
Kuna jamaa humu aliweka tangazo wiki iliyopita kuwa anauza camera za aina hzo. Lakini jua kuwa zina range kuanzia tsh 30,000 (za kichina zenye low quality na resolution) hadi laki 5 kuendelea za makampuni kma Ring na Nest by Google. Wewe tu.

Ila tafuta ule uzi, haupo mbali sana. Jamaa anakuuzia na kukufungia kabisa. Ila jua lazima uwe na wifi access point sehem unayofunga hyo camera
 
Unahitaji kamera kama hii.
 
Attachments

  • IMG_20200819_111648.jpg
    IMG_20200819_111648.jpg
    120.3 KB · Views: 1
  • IMG_20200819_112205.jpg
    IMG_20200819_112205.jpg
    114.8 KB · Views: 1
  • IMG_20200819_111827.jpg
    IMG_20200819_111827.jpg
    143.3 KB · Views: 1
  • IMG_20200819_111805.jpg
    IMG_20200819_111805.jpg
    110.2 KB · Views: 1
  • IMG_20200819_111729.jpg
    IMG_20200819_111729.jpg
    100.9 KB · Views: 1
Kuna jamaa humu aliweka tangazo wiki iliyopita kuwa anauza camera za aina hzo. Lakini jua kuwa zina range kuanzia tsh 30,000 (za kichina zenye low quality na resolution) hadi laki 5 kuendelea za makampuni kma Ring na Nest by Google. Wewe tu.

Ila tafuta ule uzi, haupo mbali sana. Jamaa anakuuzia na kukufungia kabisa. Ila jua lazima uwe na wifi access point sehem unayofunga hyo camera
Asante mkuu ngoja niucheki huo uzi
 
Back
Top Bottom