Camera ndogo ambazo zitaunganishwa na sim yangu popote nitakapokua niweze kupata picha za eneo nilikozifunga. Over
Naweza nikawa sijaeleweka ila mi nataka nijue gharama za camera ambazo zinamfumo utakaounganishwa na simu yangu kama nimekosea modes naomba mnirekebishe.Alie mwelewa tafadhari
Kama hizoUnahitaji kamera kama hii.
Asante mkuu ngoja niucheki huo uziKuna jamaa humu aliweka tangazo wiki iliyopita kuwa anauza camera za aina hzo. Lakini jua kuwa zina range kuanzia tsh 30,000 (za kichina zenye low quality na resolution) hadi laki 5 kuendelea za makampuni kma Ring na Nest by Google. Wewe tu.
Ila tafuta ule uzi, haupo mbali sana. Jamaa anakuuzia na kukufungia kabisa. Ila jua lazima uwe na wifi access point sehem unayofunga hyo camera
Ee mkuuKwa kifupi unahitaji IP camera
Ee mkuu