Wataalam naomba msaada njaa haiishi.

maji nakunywa glass mbili nusu saa au dk 20 baaba ya kula, na njaa ikianza nikinywa maji mwngi nsikia kichefuchefu na nikiendelea naweza tapika.

ukisikia dalili ya njaa kunywa glasi moja tu inatosha
 
Upo uwezekano mkubwa ukawa na ugojwa wa kisukari. Ni muhimu ufike Hospitali na upime kiasi cha sukari kwenye damu yako (RBG). Minyoo na magonjwa mengine hayawezi sababisha njaa ya kiasi hicho, hivyo uwezekano wa kuwa na kisukari ni mkubwa. But ikiwa siyo bado twaweza wasiliana.
But nina mashaka na ushauri mwingine sina hakika kama kunywa lita moja ya mafuta bado utabaki hai, labda ni mzaha, but pia sina hakika kama hapa ni mahali pa mizaha!!!!!!
 
hapo ndo tatizo lako lilipo. imenitokea pia japo sio kwa kasi kama yako. ukipingua mwili na haswa kwa kufanya mazoezi, ukiacha mwili unakua kama vile unataka ku-compenstae ile loss. sasa hakikisha unakula 3 meals pekee,ambazo zime-balance vizuri na usile sana kupita kiasi. wakati mwingine wowote ukiskia njaa kula matunda lakini sio ndizi mbivu. that way utajaza tumbo kwa majimaji na fibres. na uta-trick ubongo wako kuwa umepata chakula. ukiweza kushinda hili mwili utatulia na kuzoea hali ya uzito ulionao sasa. unaweza pia kujitengenezea instant fibre porridge kama quacker oats (unaweka fibre kwenye zile take away cups,za chuma flani hivi zina mifuniko yake. then weka maziwa na chumvi kidogo,mimina maji ya moto na funika for 5 mins.inakua ready.so unaweza kujitengenezea hata ofisini) kwa ajili ya saa nne na saa kumi.
 
Asante king'asti hope hii inatia matumain na naianza kesho rasmi,coz naanza kupata picha nilipokua mnene nilikuwa nakula kupita kiasi na nilikuwa nakula hovyo kila wakati bila mpangilio nahisi ile kuacha ndio imesababisha na kuwa na njaa sana ngoja niifanye hii after one wiki nitarudi na majibu, asante sana mkuu.
 

fanya hivi, kila nusu saa kabla ya kula chakula chochote kunywa glasi 2 (500 ml) za maji ya kawaida yaani siyo ya baridi, halafu kisha kula hesabu masaa mawili yapite bila kunywa wala kula chochote ndipo unywe tena maji glasi 2, ikiwa inakutokea kusikia njaa wakati umetoka kula siyo muda, chukuwa glasi moja ya maji unywe na kisha weka kipande cha chumvi ya mawe (unrefined sea salt) katika ulimi na umung'unye taratibu kama umung'unyavyo pipi. halafu punguza kunywa soda na vinywaji vingine kama chai ya rangi na kahawa. tembelea: Utangulizi | maajabu ya maji ili ujifunze mengi zaidi. unaweza pia kunitumia tu sms katika 0769779533
 
OMG! Huyo mtoto amenishangaza kweli anakula bulb na motofali..and still hajapata matatizo..dunia ina mambo.
 
Asante mkuu,nitayafanyia kazi,na titakutafuta.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…