yenyewe
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 621
- 94
Mi nimehitim chuo miaka miwili iliyopita nikiwa na degree moja katika social science. Baada ya kutafta ajira mda mref bila mafanikio nimepata wazo la kusoma masters.
Lengo langu ni kubadilisha fani na kusoma masters ya education ili angalau niweze kurahisisha mchakato huu wa kutafta ajira.
Naombeni ushauri wenu kuhusu hili ndg zangu.