Mi nimehitim chuo miaka miwili iliyopita nikiwa na degree moja katika social science. Baada ya kutafta ajira mda mref bila mafanikio nimepata wazo la kusoma masters.
Lengo langu ni kubadilisha fani na kusoma masters ya education ili angalau niweze kurahisisha mchakato huu wa kutafta ajira.
Naombeni ushauri wenu kuhusu hili ndg zangu.
kijana nakushauri usisome master utabugi tena mkuu,wizara ya elimu haiajiri mtu mweny masters,ushauri wangu kwako soma post graduate diploma=degree,mwaka mmoja watakupangia kituo moja kwa moja,inatolewa duce,udsm ,udom na chuo kiuu huria,ila udom ni bei rais sana mil.1 na lak 8, udsm mil3.lak 2.kuna jamaa zang wapo wanapiga.na sio mwaka mmoja exactly ni kama miez 8 au 9.thanx
Kama unaenda kusoma kwa ajili ya ajira bora usisome post-graduate maana ualim haupendi ni rahisi sana na ualim ktokukpenda.Nakushauri ukasome masters ya unacho kipenda MUNGU atasaidia utapata ajira unayo penda kuliko kwenda kuhalib ualim ambao wengine ndo tunasomea kwa mapenzi yet,ucje leta 0 nyingi.