Wataalam nisaidieni hapa

Wataalam nisaidieni hapa

Clark boots

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2017
Posts
6,770
Reaction score
6,202
Hivi nikiwa nime-switch off TV namna hii na hicho kitaa chekundu kikawa kinawaka ina maana still TV inaendelea kutumia umeme na kumaliza luku yangu na ikikaa muda mrefu sana TV inaweza kuungua.?

Au inatakiwa ni-switch off switch ya umeme kabisa.?
Ni vitu vidogovidogo Ila kwangu ni muhimu kufahamu kutoka kwenu Wataalam
IMG_20241018_121852_690.jpg
 
Hivi nikiwa nime-switch off TV namna hii na hicho kitaa chekundu kikawa kinawaka ina maana still TV inaendelea kutumia umeme na kumaliza luku yangu na ikikaa muda mrefu sana TV inaweza kuungua.?

Au inatakiwa ni-switch off switch ya umeme kabisa.?
Ni vitu vidogovidogo Ila kwangu ni muhimu kufahamu kutoka kwenu WataalamView attachment 3128592
Iko kwenye standby mode.

Inamanisha TV bado inapokea moto japo haitumii kama ikiwa imewaka.

Hiyo inarahisisha unapoiwasha I wake haraka zaidi.

Kuna mode nyingine ni hibernation japo kwenye TV sio common upo kwenye PC.
Hibernation mode ni sawa na chura anavyoingia chini ya ardhi maji yakikauka lakini anasurvive so PC inakuwa imezima lakini sio completely off, nayo husaidia I wake haraka.

Kwenye TV Kwa umeme wa Tinisko Bora uswitch off socket hususani kama huna Guard
 
Asante mkuu
 
Vifaa karibia vyote vya electronic ambavyo vina standby mode vinaendelea kutumia umeme wakati "vimezimwa" kama unataka isitumie kabisa ni lazima uzime kwenye socket ya umeme au ule waya wa extension pia kuna extension cable maalumu ambazo zinakata umeme pale kifaa kinapoingia standby ila ni vigumu kuzipata. Kutegemea na TV inaweza ukawa unapoteza Unit kadhaa kwa mwaja labda 10-20. Madhara ya kuzima ni kwamba unachukua muda zaidi kuwaka kuliko kuamka kutoka standby.
 
Binafsi hua napenda kuchomoa cable nzima kutoka kwenye soketi kama situmii kwa muda fulani kifaa hicho.
 
Vifaa karibia vyote vya electronic ambavyo vina standby mode vinaendelea kutumia umeme wakati "vimezimwa" kama unataka isitumie kabisa ni lazima uzime kwenye socket ya umeme au ule waya wa extension pia kuna extension cable maalumu ambazo zinakata umeme pale kifaa kinapoingia standby ila ni vigumu kuzipata. Kutegemea na TV inaweza ukawa unapoteza Unit kadhaa kwa mwaja labda 10-20. Madhara ya kuzima ni kwamba unachukua muda zaidi kuwaka kuliko kuamka kutoka standby.
Uko vizuri mkuu,, Asante
 
Inatumia umeme mdogo sana kiasi kwamba haimake hata sense, kinachofanya tv itumie umeme mwingi ni ile screen, hivyo inavyokuwa katika hali hiyo matumizi yake ni madogo sana

Muhimu nikuwa kama una TV Guard unaweza kuiacha hivyo hivyo kama hauna safari ndefu, ila kama unaondoka kwenda mbali ni bora uzime kabisa ukutani
 
Sawa Mkuu
 
Ni kweli umeme ni mdogo lakini kwa vile hali hii inaendelea kwa miaka nenda miaka rudi 24x7 mwishoni matumizi yanakuwa sio madogo sana hasa ukizingatia sio TV tu bali pia vifaa vingine kama decoder/radio etc.

Back
Top Bottom