JPM ndiye anayetupa jeuri ya kuuliza maswali kama haya.We washa taa na tv kula matunda ya JPM
Ahsante sana. Kwa hiyo nini tofauti sasa ya kufunga three phase au single phase kwa matumizi ya vifaa hvyo?!Three phase hutumika kama matumizi makubwa ya umeme. Kwa hiyo katika zile live wires (yaani L1, L2, L3) zinagawana usambazaji wa umeme.
Hivyo kama una mashine za kufulia, viyoyozi, majiko ya umeme inamaanisha kuwa kila phase itapeleka umeme kwenye vifaa husika. Njia hii ni tofauti na inavyotumika katika kuendesha motor za mashine kwa sababu motor zinatumia phase zote tatu kuiendesha motor.
Endapo utafunga single phase kwenye mashine inayohitaji three phase basi mashine hiyo haitaweza kuwaka au kufanya kazi. Au kama utafunga kwenye nyumba ambayo inahitaji three phase baadhi ya vifaa havitaweza kufanya kazi, kwa mfano nyumba za ghorofa na baadhi ya nyumba zinahitaji umeme wa three phase kutokana na kuwa na vifaa nilivyovitaja hapo awali.Ahsante sana. Kwa hiyo nini tofauti sasa ya kufunga three phase au single phase kwa matumizi ya vifaa hvyo?!
Je, kuna athari yoyote kufunga umeme wa three phase kwenye nyumba yenye vifaa vya single phase pekee?Endapo utafunga single phase kwenye mashine inayohitaji three phase basi mashine hiyo haitaweza kuwaka au kufanya kazi. Au kama utafunga kwenye nyumba ambayo inahitaji three phase baadhi ya vifaa havitaweza kufanya kazi, kwa mfano nyumba za ghorofa na baadhi ya nyumba zinahitaji umeme wa three phase kutokana na kuwa na vifaa nilivyovitaja hapo awali.
Ahsante sanaIkiwa unavifaa vingi ndani mwako yafaa kuwa na 3 phase
Kwasababu ukiwa na single phase meter itazidiwa mwisho kuungua sababu utakua na vitu vingi
Hakuna athari kwa vile hakuna kifaa cha nyumbani kinachotumia 3phase (450v) vyote vitaungwa kwenye single phase (230v)Je, kuna athari yoyote kufunga umeme wa three phase kwenye nyumba yenye vifaa vya single phase pekee?
Kwahiyo ukijenga ghorofa lazima uweke 3 phase? Kuna mwingine anajenga nyumba ya chini ina vyumba 6,sebule 2 etc Mwingine ghorofa lakini ina vyumba vinne tu na sitting room 1.Endapo utafunga single phase kwenye mashine inayohitaji three phase basi mashine hiyo haitaweza kuwaka au kufanya kazi. Au kama utafunga kwenye nyumba ambayo inahitaji three phase baadhi ya vifaa havitaweza kufanya kazi, kwa mfano nyumba za ghorofa na baadhi ya nyumba zinahitaji umeme wa three phase kutokana na kuwa na vifaa nilivyovitaja hapo awali.
Pia vifaa havitafanya Kaz vyemaAhsante sana
Ahsante sanaHakuna athari kwa vile hakuna kifaa cha nyumbani kinachotumia 3phase (450v) vyote vitaungwa kwenye single phase (230v)
Ahsante sana kwa ufafanuzi mzuri sana.Mtoa mada, huwa ipo hivi.
Kuna kitu kinaitwa Current ambapo unit yake ni Ampere. Na kuna kitu kinaitwa Power ambapo unit yake ni watts.
Ahsante sana kwa ufafanuzi mzuri sana.
Ghorofa ni mfano au assumption tu, nyumba inaweza kuwa ndogo na ikawa na appliances nyingi hivyo ikahitaji umeme wa three phaseKwahiyo ukijenga ghorofa lazima uweke 3 phase? Kuna mwingine anajenga nyumba ya chini ina vyumba 6,sebule 2 etc Mwingine ghorofa lakini ina vyumba vinne tu na sitting room 1.
Three phase ni mjumuisho wa Single phase lines tatu, hivyo mtumiaji anakua na uhuru mkubwa wa kutumia hizo single phase anavyotaka.Je, kuna athari yoyote kufunga umeme wa three phase kwenye nyumba yenye vifaa vya single phase pekee?
Mkuu mbona kama maelezo yako yana walakini, kwa hiyo gorofa linahitaji 3 phase?Endapo utafunga single phase kwenye mashine inayohitaji three phase basi mashine hiyo haitaweza kuwaka au kufanya kazi. Au kama utafunga kwenye nyumba ambayo inahitaji three phase baadhi ya vifaa havitaweza kufanya kazi, kwa mfano nyumba za ghorofa na baadhi ya nyumba zinahitaji umeme wa three phase kutokana na kuwa na vifaa nilivyovitaja hapo awali.