Nitarudi ngoja dr wamwage sera zao hapa.
Naelewa wazi kwamba masuala ya kuzaa ni Mungu ndiye anapanga, pia naelewa kwamba kuna watalam wamesomea taaluma mbalimbali mfano DAKTARI. Nisaidieni wataalam, hivi mwanamke anapogundua kuwa ni mjamzito, anaaza kuhesabu lini ili ajue atajifungua lini? (ingawa daktari atamuambia matarajio ni lini) hapa tatizo ni lini aanze kuhesabu, coz wakati mwingine mwanamke mjamzito anaweza kupiliza kwa wiki mbili ile tarehe ya matarajio au akajifungua wiki mbili kabla
Nawashukuru wote mtakaonisaidia
Nakushukuru sana mkuu nitafanya hivyo na barikiwaClinic mnaambiwa kuhusu yote haya,nadhani unatakiwa kuhudhuria.nikumegea kidogo wanilipa nami sitaki fedha kazi kwako.anza kuhesabu kuanzia siku ya kumi na nne ilipomalizia mp ya mwisho .kwahiyo kama ilikuwa siku hiyo ya 14 nitarehe 13/06/2011 mapaka 13/07/2011 utakuwa umetimiza mwezi mmoja.uwe makinim kujua ulipomalizia mp uanzie hapo.mabadiliko huwa yapo kutegemeana na :-hali ya hewa:vyakula:umri:madawa:kusafiri:aina ya kazi mtu anazofanya:ajali:magonjwa nk
Ahsante sana mkuu, nimekuelewa barikiwaAine...Daktari hawezi kukuambia kwa uhakika kuwa utajifungua lini. Unachoongelea wewe ambacho daktari anakuambia inaitwa 'Expected Date of Delivery (EDD)'. Hii ni kwa assumption kuwa mwanamke anaweza kujifungua wakati wowote pindi mimba yake inapotimiza wiki 36 (miezi 9), ambapo tunaita 'Term pregnancy'. Ila mwanamke anaweza akajifungua wiki chache kable ya hapo au mara nyingi wiki kadhaa baada ya hapo...rarely on exact date.
Hiyo EDD ni mahesabu ambayo daktari anapiga, na kuna formula maalum ya ku'calculate' hiyo date, ukireflect tangu siku mwanamke amepata mimba ukitumia proxy ya kuona siku zake kwa mara mwisho, hadi mimba itakapotimiza wiki 36. Kuna virahisisha kazi (job aids) siku hizi ambazo zinasimplify hiyo formula na hivyo ukimtajia daktari siku uliyoona hedhi kwa mara ya mwisho basi anazungusha tu kikaratasi fulani anapata EDD, ukimuomba daktari wako anaweza kukuonyesha.