Hee ndani ya masaa sita mtoto hajanyonya na bado anaishi!? Mkuu acha utani
Mtoto ananyonya saa moja baada ya kuzaliwa. Kuhusu kula chochote hairuhusiwi mtoto mchanga kulishwa chakula kingine zaidi ya maziwa.
Akiwa tumboni huwa anapata chakula kupitia kwa mama yake,hivyo kujisaidia haja kubwa sio ajabu.