Nyoka kibisa
JF-Expert Member
- Nov 30, 2014
- 568
- 1,507
Habari za saa hizi wadau wa JF?
Niende moja kwa moja kwenye hitaji langu.
Ni kwamba mke wangu anasumbuliwa sana na kichwa kuuma kwa miaka zaidi ya 15 sasa mwanzo walikuwa wanasema ni ugonjwa unaoitwa kipanda uso kwani ilikuwa ikimsumbua jioni na asubuhi tu yaan mchana anaweza kushinda salama lakini ikifika jioni kichwa kinakuwa kinamuuma saana usawa wa uso imeenda hivyo baadae ikawa inamuuma kwenye misuli ya pembeni kama misuli inataka kupasuka hivi.
Nimeenda hospitali tofauti tofauti madaktari wakashauri labda n tatizo la macho na akapewa dawa lakini wapi wengine wakahisi labda ana damu nyingi ila hana uwingi huo wa damu.
Baada ya kutumia tumia dawa alizokuwa anapewa ratiba ya kichwa kuuma ikabadilika sasa akawa anaumwa aidha kabla ya kuingia period au baada ya kutoka period.
Kuna kipindi nilipata safari ya Kenya nikaenda nae Kenya ikabidi nijaribu na hospitali za huko dokta aliyempima akatuambia tatizo ni homoni ndio maana kichwa kinamuuma kabla au baada ya kuingia kwenye mzunguko wake na alichomwa sindano ambayo nililipia kama Ksh 99 ja baadhi ya vidonge na kweli baada ya pale alikaa sawa kama miezi miwili hiyo ilikuwa ni mwaka jana.
Ila sasa tatizo limerudi pale pale kuumwa kichwa aidha siku moja kabla ya period, wakati wa period au baada ya period.
Naombeni msaada wenu katika hili.